Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,909
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana tupo aina tofauti tofauti,,.
1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.
2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno
3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha
5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.
7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.
8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player
So listen to your heart..., na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.