DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,275
- 5,931
Habirin Wakuu..
Naandika Uzi Huu Kutokana na tabia ambazo nimeziona kwa wazazi wa kiume wengi hasa huku mikoani.. kiufupi nimekuwa nikikereka sana mambo hayo ni kama
;
1 mzazi kuwa mkali kupitiliza mpaka akisafiri watoto wanafrahi akirudi nyumbani watoto wanajificha chini ya meza au chumbani
2 Baba kumkaripia mama mpaka anaonekana inferior mbele ya watoto wake plus na mabuti juu
3 Baba anaondnka nyumbani bila kuacha kitu(pesa ya matumizi) wakati hajajenga uchumi wa familia mwenyewe hivyo kupelekea mama kuteseka sana
4 kutokuwatmzia watoto mahitaji ya shule na mengine muhimu kama mavazi hivyo kufanya watoto kuishi miserable life
Nashaur Vijana tujipange
N:B Hii Situation ni common vjijini naomba tujaribu kuwashauri. asanten.