Mume kwa mdogo wangu anahitajika

DR MANJALA

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
304
226
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
 
We kweli mwanaume, safi saaana japo unamtafutia dogo "SIFA ZILE ZILE ZA MWANAUME" asee hili ndio tangazo haswa la love connect, kama huna sifa za mwanaume usitie mguu sio vigezo kibaoo mara uwe na saving ya 1m per month
 
Niheri yake ambaye amefikiria kuolewa hofu yangu kwa umri wake wapo wengi watakao jitokeza kwa lengo lililotangazwa lakn wao watamtumia
 
Miaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Acha upuuzi wewe, muda wa nini? Au unataka mwenzio achache kama wewe? Huu ndio muda mwafaka wa kupata mwenza. At 22 is very right, beyond that thamani inaanza kupungua!
 
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Niko serious ila tatizo sijui jinsi ya ku pm maana sina ujuzi sana na mitandao
 
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Mkuu kwanza hongera kwa ujasiri kujitoa kumtafutia dada yako mume. Haya sasa tuma wasiliano ya dada ako PM.

Angalizo:
Kwanza uhakikishe yupo serious na hana kasoro, na mipaka yako iishie tu kutuunganisha basi.
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe dalali/kishoka au mshika pembe wake? Unajua kama akipata li mwanaume staboni kupitia wewe atakuwa anakulaumh wewe.Kuna vitu vya kufanyia udalali ila sio haya mapenzi
 
Back
Top Bottom