Kwanini Wanawake waliotalikiwa au hata waliogombana tu na Wapenzi wao wa Kiume ni rahisi kutongozeka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Nini hupelekea Wanawake waliotalikiwa na Waume zao au kugombana tu na Wapenzi wao wa Kiume huwa ni rahisi mno Kutongozeka?

Nawasilisha.
 
Nikweli kabisa mimi mwenyewe kuna mmoja alisumbua sana lakini baada ya kukosana na mume wake mwenyewe akaja kuniomba namba yangu wakati mwanzo niliomba namba yake alikataa kabisa mimi nikamwambia mbona mume wako anayo namba yangu anaweza kukupa.
 
Sasa wewe ulitaka a happily married woman atongozeke tena? Halafu kirahisi? Mwanamke average hawezi kupenda wanaume wawili (ceteris paribus, kuna Biashara Siku hizi)
 
Nini hupelekea Wanawake waliotalikiwa na Waume zao au kugombana tu na Wapenzi wao wa Kiume huwa ni rahisi mno Kutongozeka?

Nawasilisha.
Hata shamba lililowahi limwa na kuachwa huwa ni rahisi kulimwa tena kuliko lile ambalo halijawahi kulimwa kabisa
7333f81cbaa3758e3a4fcc55e6b19c0c.jpg
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Hata shamba lililowahi limwa na kuachwa huwa ni rahisi kulimwa tena kuliko lile ambalo halijawahi kulimwa kabisa
7333f81cbaa3758e3a4fcc55e6b19c0c.jpg

Nadhani hiyo picha ya huyo ' Mwendawazimu ' mwenzio ingemfaa sana ' Mamaako ' kwani yawezekana hakutumia ' akili ' kukuzaa.
 
Back
Top Bottom