Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,909
Habari zenu wadau!
Ningependa kufahamu baadhi ya wanawake kuwa na tabia ya kutowaambia watoto wao baba yao ni nani. Hii ninaieleza kwa muktadha wa kwamba inatokea umezaa na mwanamke lakini ikawa si Bahati ya kuishi nae kama mume na mke.lakini hataki mtoto akuzoee au ajue kuwa wewe ni baba yake. Tatizo linakuwa ni nini?
Naomba wanawake mlioko hapa mnipe sababu za msingi.
Ahsanteni sana.
NB. Haihusiani na maisha yangu.binafsi