Haya ndio yatayonifanya nimpende

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,889
183,960
Natural tingz:
1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu.

2.No full time makeups, ngozi iwe free.

3.Chura awepo proportional to thighs.

4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo.

5.Kapua kadogo like my moms.

6.Urefu sio ishu ila asiwe mfupi below 5ft.

7.Skin tone iwe dry, light au dark brown.

8.Awe independent kiakili asiwe mtu wa circles,mwanamke kushikiwa akili na mashosti its a biggest turnoff kwangu.

9.Awezae kumudu tamaa za mwili katika hali zote kimaisha,sio mtu kila akionacho anataka awe nacho yeye tu.

10.Yule mtaratibu, understanding na pia apendae kuchangamshwa na utani kwa mbali. I would love to see her beauty face smile always na nitahakikisha hilo linatokea kila akiwa namimi.

Mind you, hakuna mkamilifu ila mwenye asilimia 80 ya haya nilioyoainisha ana nafasi nzuri ya kutokewa.
Hebu wenzangu mje mtaje yenu tafadhali!
 
nimechora yote uliyoandika mwisho wa siku imetokea hv
Fat-American-Girl.jpg
 
Back
Top Bottom