Nimeamini: Kugegeda mfululizo/Mara Kwa mara kunapunguza uzito

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Mada tajwa yahusika
Nlikua naskia skia Tu ukipenda kugegeda kila Siku unakonda na kupungua uzito
Hii theory nimeamini sasa baada ya kupungua uzito kama kilo 3 hivi
Nimefululiza kumgegeda mchepuko wangu Kwa takribani wiki 2 goli za kutosha
Ila juzi nimepima uzito nimepungua toka kilo 70 hadi 67 na nakumbuka Siku ya mwisho demu alinionya niache kumgegeda kila siku nakonda yeye ananenepa
Kweli Ngono ya mara Kwa mara ni mbaya Kwa afya.
 
Ikumbukwe kwamba, Gameti imesheheni kiasi kikubwa cha protini.

Hivyo kugegeda mfululizo ni dhahiri wazi hupunguza kiasi kikubwa cha protini mwilini. Protein ndiyo huchangia kwa kiwango kikubwa kuujenga mwili, Hivyo inapopunguzwa mfululizo mojawapo la tokeo ni mwili kupunguza uzito.

Pamoja na hayo yote, kugegeda kutaendelea tu, maana hamna namna
 
Mada tajwa yahusika
Nlikua naskia skia Tu ukipenda kugegeda kila Siku unakonda na kupungua uzito
Hii theory nimeamini sasa baada ya kupungua uzito kama kilo 3 hivi
Nimefululiza kumgegeda mchepuko wangu Kwa takribani wiki 2 goli za kutosha
Ila juzi nimepima uzito nimepungua toka kilo 70 hadi 67 na nakumbuka Siku ya mwisho demu alinionya niache kumgegeda kila siku nakonda yeye ananenepa
Kweli Ngono ya mara Kwa mara ni mbaya Kwa afya.

KUWENI NA KIASI KWA KILA JAMBO!!
1 Petro 1:13 Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo.
 
Kweli asee,.me cjagegedwa huu mwezi wa sita sasa,yaani nimenenepajeee ila kipindi kile niko na mpnz alooo kwa wiki napumzika mara 2 yaani nilikuwa modo na nilivutia zaidi, ila sasa aaahhgggg... Njoo mpnz wangu kokote uliko ntakuwa Asha boko jamanii.....
 
Back
Top Bottom