Kama unajiweza ni bora ujitolee mwenyewe mahali kuliko kuwategemea wazazi au ndugu zako. Hili litakujengea heshima zaidi.Habari waungwana,,
Naomba kujua hivi kuna ulazima wowote wakwenda kwa wazazi kuwaomba mahari ili ukaoe?? Ilihali wamekusomesha hadi kazi wakakutaftia ukapata,,
Vitu vya msingi ni kama vp mkuu?Kama unajiweza ni bora ujitolee mwenyewe mahali kuliko kuwategemea wazazi au ndugu zako. Ili litakujengea heshima zaidi.
Pia kumbuka mahali huwa haiishi yote kwa siku moja. Deal na vitu vya msingi vinavyohitajika, vingine utakuwa unatoa taratibu.
Habari waungwana,,
Naomba kujua hivi kuna ulazima wowote wakwenda kwa wazazi kuwaomba mahari ili ukaoe?? Ilihali wamekusomesha hadi kazi wakakutaftia ukapata,,
Hapa inategemea na sehemu/kabila unalotegemea kwenda kuoa, sasa wanakuwa na taratibu zao za kukuambia labda blankets la bibi, koti la Babu, mbuzi/kundoo/ng'ombe n.k.Vitu vya msingi ni kama vp mkuu?
Na kumkaza mkeo utaenda kuomba wapi?Habari waungwana,
Naomba kujua hivi kuna ulazima wowote wakwenda kwa wazazi kuwaomba mahari ili ukaoe? Ilihali wamekusomesha hadi kazi wakakutafutia ukapata.