Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Two gay dads have spoken of their delight as they prepare to welcome their first biological child. Biff Chaplow and Trystan Reese are already adoptive parents to two young children Riley and...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Naomba kuuliza tuu jamani kuna jambo limenikuta na linanikera sana. Kuna mdada nilimwonyesha kumpenda na akajua nampenda kwenye kumwalika ili tuongee nimwage sera zangu, alinata sana nikachoka...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu kuna baadhi ya makabila bado yana tabia za kwenda nyumbani kwao kuoa.Unakuta mtu katafuta sana maisha sasa anaamua kurudi kwao kuoa mke wa kabila lake. Wengi wao hutumia mda mdogo sana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za muda huu wandugu poleni na majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa kuna tofauti gani kati ya posa na mahari na kipi huwa kinaanza na kipi huwa ni kinapewa uzito...
0 Reactions
14 Replies
32K Views
Jamaa yangu uledi huwa analaani sana akisikia wanaume wa mjini. anasema miaka ya nyuma alikuwa na bint mmoja alimpenda sana huko morogoro.kawa yule bint amefanikiwa kuja kusoma chuo dar. anasema...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
awe mfanyakazi au mjasiriamali, umri kuanzia miaka 35 mpaka 50 sichagui dini wala rangi alie tayari ani PM tutaongea zaidi mimi ni mfanyakazi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukweli kuhusu maisha ya wanandoa hasa katika kipengele cha usafi ni kwamba,Ukikuta mwanaume ni msafi,basi Mwanamke atakuwa mchafu.Na Mwanamke akiwa msafi,vilevile mwanaume atakuwa mchafu.Sasa hapo...
1 Reactions
19 Replies
14K Views
Leo kwenye shosti talk nimewaletea topic kutoka kwa Lizz David. .Anatuelezea kuhusu kudumu au kutokudumu kwa ndoa ya wanawake waliolala na wanaume wengi. Shuka ujisomee na usiache kuchangia mada...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Japo amekuoa, kuipata papuchi yako lazima akubembeleze sana na umfikirie sana, ndipo aipate. Siyo kwamba kwa kuwa amekuoa basi anakuwa anakugeuza na kukutumia kadri apendavyo. No! No thank ü...
12 Reactions
287 Replies
21K Views
Inaniuma sana mchumba wangu anaposhindwa kuwa huru mm kuaccess simu yake, anang'aka kweli mpaka imefikia wakati tunanuniana. Mimi yangu iko free tu, nikitika kazini ipogo tu mezani, anaweza...
2 Reactions
106 Replies
9K Views
mwamba c, fleha, & Michaelray22 Kama nilivyokwisha kueleza hapo juu, katika kichwa cha uzi hawa ndugu zetu katika JF jukwaa pendwa la MMU wanayo kesi ya kujibu. Kesi hiyo inatokana na ukimya wao...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mm ni kijana (kiume) wa kitanzania niko morogoro. Natafuta marafiki wa kike/mchumba. Aliye tayari tutazungumza kupitia 0629160442. Nina miaka32,nahitaji marafiki/mchumba kuanzia 24-30 kwa wanawake tu.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Siku kwa kweli hazigandi, na hizi za miaka hii ndo kabsaaaaa...sijui zimekuaje kutokana na kizazi hiki kilichopotoka. Miaka ile ilikuwa sisi wanaume tukikaa jioni tunapiga story na kunywa...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar. Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar. Karibu PM mpenzi
0 Reactions
8 Replies
785 Views
Pesa kwenye Biblia takatifu imezungumzwa katika vifungu 2,350 .Pesa ndio humpa mwanadamu heshima,umaarufu na jina zuri.Pesa ni ulinzi na ngao ya kujikinga na mambo mengi ukiwa ungali hai...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Mwanamke mzuri na mwenye hekima na busara siku zote hubeba baraka na mafanikio ya mume wake, Siku zote mwanamke bora humsapoti mumewe kwa hali zote shida na raha. Tatizo huja wanawake wema na...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwanaume umemdanganya mkeo eti sanamu ya Posta umechonga wewe. Unakufa, huku nyuma mkeo anaibuka Anadai eti mumewe ndiye mchongaji wa sanamu. Aibu... Aibu...... Aibu! Uwongo wetu unawaaibisha wake...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Paka shume ni mwizi wa wake za watu. Siri yake kubwa ni mkulima kombakomba kwani hachagui jembe la kulimia. Karibu paka shume wote hujituliza na barmaids na dada poa haswa wakikosa jembe la...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Yaani unakuta kabisa Mwanaume umeshajikoki na umekokika kisawasawa na kuzipangilia vizuri sana Manifesto zako za Kutukuka za Kutongoza halafu unamtokea Demu unamuimbisha kadri uwezavyo hadi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ilikuwa kipindi kidogo holiday flani hivi, tumeenda beach na rafiki yangu akiwa na girlfriend wake. Kwenye kutembea tembea tukapishana na watoto wawili wa kike wakali kweli, wakiwa kwenye mikato...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…