Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu nilkua na binti tena nlkua nampenda sana kwa moyo Wangu wote Amenisaliti na kapigwa mimba juu tulikua tumepanga mengi mazuri hapo mbeleni sasa yote hayo yameenda na maji Am totally...
20 Reactions
117 Replies
12K Views
Wahenga wa kileo nasema wa kileo siyo wale wazamani wanasema " kwa kutumia make- up wanawake wanaonekana warembo na kwa kuwa na pesa kunafanya mwanaume yeyote aonekane mtanashati". Jamani...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanaume wengi tunaambiwa tuna upungufu wa nguvu za kiume lakini chanzo chake utasikia sijui mazoezi, mara magonjwa ila ukweli ni kuwa chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume ni wanawake tulio nao...
10 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari Zenu. Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu. Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela...
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar. Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar. Karibu PM mpenzi
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Asante sana,mm Askari Muoga baada ya kufanya Deep and Hard inveatigations nimekuja kugundua siri zifuatazo kuhusu wanawake wanao tafuta wanaume jf 1:Wa mikoani ivyo wana watafuta wanaume wa Dar...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Mimi Nina hali moja hivi yaani Nina uwezo Wa kumsoma MTU mda mfupi saana yaani nikikutana nae tuu au nikishikana nae mkono nikimwangalia namjua yupoje na pia na nia yake ni IPI kwangu na sijawahi...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika reseach yangu ndogo niliyoifanya hapa nchini kwetu nimegundua kati ya ndoa 10 basi 8 hadi 9 ni ndoa maslahi...!! Ndoa Maslahi ni zile ambazo kuna maslahi nyuma ya pazia yaliowapelekea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mpo poa? Sijaingia humu muda tu kutokana na majukumu, Leo ntajitahidi kua very brief nsiwachoshe Ni hivi kuna binti nilikutana nae pale house of wine kama mwezi umepita, ile kumuona tu I...
4 Reactions
130 Replies
10K Views
Mijitu mingine imeona humu ni sehem ya kufanya majaribio yaan hayapo serious
0 Reactions
11 Replies
873 Views
Uuuh show me.... show me..... show me..... uavyo-dance oooh..... Raha sana asikwambie mtu yuuhuuuu. Woow....... I love the songs.... Davido amekonga nyoyo yangu hasa akipaza sauti hapo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habar wana jf ? .Mim ni mwanafunz wa chuo kikuu hapa dar .mwaka Jana nilikutana na bint ambaye anaishi mazingira karib na nilipopanga nikamwaproch kimatani akanikubalia.tukaendelea na mahusiano...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Kuanzia sasa sito fanya sex maisha yangu yote.....kwa sababu inaboa na kukinai sana.
0 Reactions
99 Replies
10K Views
ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia comment na post zake huyu member anayejiita Mbwa dume Sio siri nimevutiwa sana natamani kumfahamu kiundani ikiwezekana awe rafiki yangu tu Tumezoea watu...
7 Reactions
76 Replies
13K Views
Habari za asubuhi wapendwa wana MUM.. .. Leo nawasimulia nilichokiota usiku wa leo si kuwa mnitafsirie bali natamani nikilala leo iendelee ilipoishia leo. Naomba nianze simulizi kama ilivokuwa...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Usafi kwa mwanamke ni kitu cha msingi sana kwa sababu usafi hupelekea wanaume tuwe na hamu ya tendo la ndoa mara kwa Mara pale unapokutana na mwanamke msafi...
13 Reactions
366 Replies
38K Views
Nasikitika Mods Kufuta Uzi wakwanza lakini Nimeandika tena huu Naimani wataheshimu Habari zenu wakuu Tatizo la utasa na nguvu zakiume uume mdogo zime wakumba wengi na kusababisha watu kukosa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili swala nimenitokea mara kadhaa pia na kulisikia kwa marafiki zangu sana.. Unapokua na dem siyo mke lakini muelewe hivyo.. Unaweza mwomba tuonane akakuambia Nauli hana ukatuma anakuja mnakula...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jamvi habari za jioni? Nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miezi sita, nilimpata mchumba kupitia Love Connect. Tumekuwa na mahusiano mazuri tu na tulipanga hata kutambulishana kwa wazazi...
2 Reactions
248 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…