Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeshtuka sana wakuu na pia nimekosa raha, kwa sababu sina kabisa mambo ya kishirikina. Ni miaka mingi sasa imepita toka nimchumbie yule binti, si hivyo tu nilimlipia ada ya chuo baada ya wazazi...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu naomba tupeane uzoefu kwenye dating apps nzuri na tupeane uzoefu wa ke
0 Reactions
9 Replies
3K Views
MWANAUME AKIKUOMBA VITU HIVI VITATU JUA HANA MPANGO WA KUKUOA Katika mapenzi kila mtu ana watu wa aina mbili, aina ya kwanza ni ile ya watu wa kuzuga nao na kupotezea muda na aina ya pili ni ile...
23 Reactions
122 Replies
34K Views
Uzuri wa mwanaume sio sura. Uzuri wa mwanaume sio unene wala uwembamba. Uzuri wa mwanaune sio pesa. Uzuri wa mwanaune MASHINE. [emoji119] [emoji119]
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kuna jamaa mmoja kanipa mfano mmoja wa wanaume na wanawake kuwa pamoja na umapepe wa wanawake kujidhalilisha kwenye kumbi za starehe kwa kuvaa nusu uchi lakini kamwe huwezi kuta mwanamke kichaa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Hili ni tukio la kweli kabisa, rafiki yangu mkubwa Patrick (siyo jina lake halisi) alimpenda dada mmoja mrembo kweli kweli, wakaanza mapenzi kabla ya ndoa. Na kisha mahari ikafuata ,wale wazee...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habarini... Leo nakuja na hoja ambyo kimsingi nitaonekana wa tofauti but eni weyi... Acha iwe hvo... Kimsingi nimeweza kugegeda...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
kati ya hawa wawili. Nani atamuomba pooo mwenzie?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
katika pitapita zangu nikiwa katika bar flani hivi nilimsikia mdada mmoja akizungumza na mwenzie katika mazungumzo yule mdada alikuwa akimuelezea kuwa kuwa anawachukia sana wanaume" Basi yule...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
1.Husaidia uzalishaji wa homoni ya “oxytocin” ambayo husaidia sana mwili kuondoa tatizo la kuhisi upweke, hasira, na kutengwa. 2.Unapomkumbatia mtu, unaupa mwili hali ya kujihisi salama na huru...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Nina rafiki wa dhati kabisa moyoni mwangu kupitia humu humu JF. She is a user of jf,kitambo kidogo. Nakumbuka pishana kiswahili somewhere (sikumbuki ni Uzi gani) nilimjibu shit...
38 Reactions
747 Replies
36K Views
Hii inatokea pale mwanaume anafanya mapenzi mshindo mmoja tu na kufanya ile nguvu ya mapenzi kubaki mwilini, yaani ni hivi unakuta mwanaume katoka kufanya mapenzi lakini baada ya muda kupita...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mtu mmoja Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu.
4 Reactions
104 Replies
7K Views
Ndugu zangu tumekuwa tukilalamika na wengine kulialia juu ya mapenzi je hakuna kingine cha kufanya? Yaache mapenzi yaende zake tafuta jambo la kufanya na maisha yatasonga mbele. Tunalia mara moja...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Kila upande katika ndoa au mahusiano unafanya kila namna kuhakikisha mwenzake hachepuki. Namna ni nyingi ikiwa ni pamoja na kuridhishana kitandani, kutunziana heshima, kutafuta pesa na matunzo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
guest-1790917349
Yaani siamini kama nimependa tena jamani, i real love him to the extent siwezi elezea tatizo langu nitatokaje hapa. I have tried but nashindwa, najikuta naumia coz i know he is not there for me...
12 Reactions
260 Replies
23K Views
Heshima yako mwana MMU. Natumai mko salama na mnaendelea poa sana katika ujenzi wa taifa Letu. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Juzi nimedhihirisha na kutambua umhimu wa huu msemo wa kwamba...
12 Reactions
138 Replies
12K Views
Wadau Karibuni sana wale wote wenye Malengo na ambao tupo kwenye maandalizi ya kwenda kujitambulisha ukweni Karibuni tupeane maujuzi 1:Mavazi gani siku ya mahari 2:Umemjua vya kutosha mchumba...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
hbr wana jf. hivi ni jina gani la pili mwanamke atumie akishaolewa....??? la mme wake au la baba yake. naomba tujadili hili kwa leo. mfano mwanamke anaitwa Rehema na babake anaitwa Alex. kabla...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi watu wanaofanya mazoezi ya nguvu kama wacheza mipira, mieleka, ambao misuri imekakamaa na kugangamala kwa kiwango kikubwa, JE hata dushelele huwa inagangamala hivyo. If so Wamama hawapati...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…