Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kichwa cha habari! Nimechoshwa na stress za ndoa Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu. Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Kwa kero za ndoa ninazoshuhudia na kuzisikia, nashindwa kuelewa sabb ya mwanaume kuamua kuoa mke ambaye baada ya muda mfupi hugeuka kuwa laana na balaa. Mtu anaanza kujutia, kunyong'onyea na...
7 Reactions
155 Replies
13K Views
Kutoka kwa Abuu Abdillah Tafakari Tafakari ewe Dada yangu hakika wengi katika wanawake wa sasa wanakosea sehemu kubwa kwa kudhani kwamba urembo wake au umbo lake ndo linamfanya apate mume...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kike aliye sereous, Umri 26yrs Elimu: kidato cha sita na kuendelea asiwe tegemezi dini: awe mkrsto
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini! Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae 1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu. 2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Natafuta mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha karibuni sana.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo vp wakuu natumai wazima kabisa. Kulikoni ndugu zangu mbona hali imekua mbaya sana kwa wanaume wa tanzania? Yani wanapita hadi dada zao kwa umbea. Zaman umbea tulikua tunajua wameumbiwa...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari wana JF! Kuna kitu nataka share na nyinyi juu ya matokeo ya Thank You so ni fupi kidogo but tutajifunza kitu kulingana na ulivyopokea! Kumekuwa na trend ya uzinzi kuongezeka but wengi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie...
20 Reactions
188 Replies
21K Views
*STRICTLY FOR MEN ONLY* *When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.* _~By Lee Majors_ *After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika piapita yangu katika biblia nimekuja kugundua wanaume kulelewa (MARIO) hakujaanza leo wala jana biblia imeandika hivi "Mwanamume kuishi kumtegemea mwanamke siyo dhambi ila ewe...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu natumai weekend zenu zipo poa, mi hapa nimechoka..hii weekend nilihisi itakua moja ya weekend nzuri sana lakini nimekuja kua weekend mbovu kabisa Majuzi hii nlileta mkasa wa kumuacha huyu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Je...... Damu zao zimeendana? Wameridhiana Kimahaba? Wana Mapenzi ya dhati? Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu? Wamerogana na labda Uchawi au umegongana...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Za wikend wapendwa. Wakuu yule mrembo wa miaka 18 niliewaambie juzi bado anazidi kunisumbua tuu. Mimi baada ya kumpiga chini kama rais wa real madrid anavyowafukuzaga kama mbwa makocha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbarikiwe Sanaaaaaa! In 2012 one of my class mate married an armed robber. Jambazi jambazi kabisaa. The guy started small time kwenye white collar crimes, wizi huu wa makampuni kufoji, kuiba, ila...
26 Reactions
75 Replies
15K Views
habari ya humu jukwaani? rejea kichwa cha mada tajwa na tarehe husika? nilileta mada kwa ajili ya nadhiri ya kuacha kabisa hizi mambo.pia niliahidi kwamba siku 40 baada ya kudhamiria yaani ifikapo...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
BARUA YA SABA KWA WANAUME MLIOOA:- . (Mahususi kwa wazinzi na wapenda michepuko) ---Nakala kwa:---- Wanaume wengine wote. Wanawake wote. Ndugu wanaume wenzangu, Ninawasalimu kwa salamu za...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Attention: 10 things women find unattractive in a man, especially No.1 June 8, 2017 Old-eagle Guys spend a lot of time trying to figure out what attracts women. Unfortunately a lot of them are...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wadau. Mitihani ya Dunia haiishi. Mimi nipo sehemu nimepanga nina takribani miezi minne tangu nihamie...yupo binti mmoja nilimkuta kwenye hiyo nyumba yani mpangaji mwenzangu ila yeye...
2 Reactions
93 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…