God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Za wikend wapendwa.
Wakuu yule mrembo wa miaka 18 niliewaambie juzi bado anazidi kunisumbua tuu.
Mimi baada ya kumpiga chini kama rais wa real madrid anavyowafukuzaga kama mbwa makocha wanaoboronga huyu dada kaamua kunikali kooni kabisa na kama nisipobadilisha mawazo basi ataniadhibu vibaya sana.
Sasa jaman mimi penzi la kulazimisha sipend na naogopa mimi simpend tena.
Huyu mrembo kaniganda jaman sijui anataka nini kwangu, nikimpasua kuna ubaya kwani? Ananipotezea mda sana pia sina mzuka wa kupig bata viwanja
Naombeni ushauri nichukue hatua gani maana huyu mwanamke anaponipeleka siko kabisa.