S samweli2014 Member Jun 9, 2017 5 3 Jun 10, 2017 #1 Natafuta mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha karibuni sana.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,593 70,875 Jun 10, 2017 #2 Wanawake Mnaotaka kufunga pingu na jamaa mje huku
gbefa JF-Expert Member Jun 1, 2016 3,807 15,837 Jun 10, 2017 #4 Mkuu unatafuta mke kiraisi hivyo... Naomba uje na mrejesho ukipata aisee.. Over
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,635 Jun 10, 2017 #5 Mkuu ungewakea na detail ili kuwakamata vizuri
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,015 28,128 Jun 10, 2017 #7 KWA MARA YA KWANZA NITAZISHUHUDIA PINGU ZA MAISHA MAANA SIKU ZOTE NAJIULIZA KUHUSU HIZO ZA MAISHA ZIKO VIPI JE KAMA ZA POLISI AU???!!!
KWA MARA YA KWANZA NITAZISHUHUDIA PINGU ZA MAISHA MAANA SIKU ZOTE NAJIULIZA KUHUSU HIZO ZA MAISHA ZIKO VIPI JE KAMA ZA POLISI AU???!!!
sayoo JF-Expert Member Nov 19, 2014 5,278 7,922 Jun 10, 2017 #9 kwa uandish huu ata akijitokeza huyo mwanamke c utakimbia ww