steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,171
- 1,580
Katika piapita yangu katika biblia nimekuja kugundua wanaume kulelewa (MARIO) hakujaanza leo wala jana
biblia imeandika hivi
"Mwanamume kuishi kumtegemea mwanamke siyo dhambi ila ewe mwanamume umtegemeae mwanamke tarajia fedheha na kharaha siku mkishindwa kuelewana"
ivyo basi mlio bhatika kuwapata wa kuwalea msiwaze hakuna dhambi juu ya hilo
na nnavyo jua kulelewa iwe mwanamume iwe mwanamke ni raha sema wengi wetu hatujawapata wa kutulie ndyo maana povu hututoka