Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 797
- 896
Kutoka kwa Abuu Abdillah
Tafakari
Tafakari ewe Dada yangu hakika wengi katika wanawake wa sasa wanakosea sehemu kubwa kwa kudhani kwamba urembo wake au umbo lake ndo linamfanya apate mume bora huku akisahau kwamba uzuri wa ndege si mabawa
Kwa sababu wachafu wengi huvaa nguo safi
Kila siku umekuwa wa kupost jinsi unavyojua kuonyesha maungo yako kana kwamba unatangaza biashara Mwanaume si mjinga atakupa hata gari akutumie mda wake ukiisha atakuacha
Hata akakusifia kwa sifa zisizo kifani lakin hakutamfanya abaki na ww siku zote
Unapotaka kutuonyesha makalio yako tafakari kwamba tutakusifia umependeza umrembo lakini moyoni tutakudharau
Chunga sana picha pia ni ujumbe unapotuma tafakari.
Uzuri wa mwanamke katika kitanda haukufanyi mwanaume aweze kuishi na ww siku zote
Lakini ukiwa mtamu katika tabia mwanaume Atadumu na ww mpk milele
Ikikugusa badilika kwa sababu hata Mimi nataka ubadilike