Kwanini Couple ya akina The Bold na Nifah inakubalika na kuwa na mvuto kuliko zilizokuwepo humu JF?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Je......
  1. Damu zao zimeendana?
  2. Wameridhiana Kimahaba?
  3. Wana Mapenzi ya dhati?
  4. Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu?
  5. Wamerogana na labda Uchawi au umegongana hivyo hakuna awezaye kuchomoka?
  6. Nyota zao zimelalia upande mmoja?
  7. Mwenyezi Mungu aliwaanda muda mrefu tu ila wao hawakujua mapema?
Karibuni nyote mliobobea / mliotukuka katika Elimu nzima ya Mapenzi mtupe ujuzi wenu tafadhali kwani kuna wengine humu Couples zetu hazina tofauti na uwanja wa vita au yanayotokea huko nchini Syria ( namaanisha ni za hovyo hovyo / vurugu vurugu tupu )

Nawasilisha.
 
hii couple inaonekana inakunyima usingizi eeh? Jibu mbona rahisi sana..ni nani asiyewajua hawa wawili kwa maandishi yao yaliyotukuka hapa Jf? Walengwa wenyewe ni maarufu na michango yao inakubalika..sasa kama watu wawili wanakubalika kwa nini kuwa kwao pamoja kusikubalike?
 
ngoja na mimi niunde ya kwangu na Maserati utaniambia mkuu...:rolleyes: :D Maserati ukuje huku...
 
Niliposoma habar za Bold wakat hana jina kubwa humu kama sasa inasemekana kwanza walikua hawaivi kabsaaaaa,na wakishakwaruzana mpka huko pm,ila mida ulivyokua unakwenda bold akaona niffah ana like post zake,,kidgo kdgo naiman ile sumu ya kuchambana ilishatoweka wakaanza ku like kila post ya mwenzake,,baadae kikohoz kikawabana wakatamkiana,,so jinsi walivyoanza ni tofauti na walivyo so nadhn wameelewana na wamejua mapungufu yao so wamekoleana kwa sasaaaa

Shemelaaaaa Niffah kama nakuona ukitabasamu na huyo bwana mdogo hapo Kando
 
Hivi ukikuta ni mtu mmoja mwenye ID mbili?
Huyu Bold mwenyewe alivyo mtunzi na msanii, kwanini ashindwe?

Mtashangaa siku analeta series ya yy kutumia ID mbili, Nifah na Bold kias kwamba Mod na members wote kudhania ni wapenzi, kumbe mtu mmoja

The bold Nifah
 
Kuna couples nyingi humu ila zimeamua kutosema tu, hawa wameamua kujiweka wazi kama mahondaw vs Smart911. No uchaguzi wa mtu kuamua kuweka mahusiano yake wazi au kuwa kimya.

Naamini ndoa nyingi tu zimezaliwa jf, basi tu wengi hawataki kujisemea.
 
Kesho ripoti ya makinikia

Na

Uchqmbuzi wa Bajeti

Mzubue masikio yetu na mfungue macho yenu yapate kuona vyema, halafu ndo mrudi kwa hao watu
 
Kuna couples nyingi humu ila zimeamua kutosema tu, hawa wameamua kujiweka wazi kama mahondaw vs Smart911. No uchaguzi wa mtu kuamua kuweka mahusiano yake wazi au kuwa kimya.

Naamini ndoa nyingi tu zimezaliwa jf, basi tu wengi hawataki kujisemea.

Thanks mkuu naona umeamua kutuchana Smart911 na ki chake sio hahahaah. pamoja sana askari wangu.....

Though hii post ya kichochezi kabisa hii I guess!
 
Back
Top Bottom