X man anataka nimsimamie biashara zake

X man anataka nimsimamie biashara zake

Hali yako kimahusiano kwasasa ikoje...

Upo kwenye mahusiano au tangu muachane upo single!???
 
wewe ni 9 alioizoea ndo mana anataka kukuonesha kuwa sio kila msichana ni mwanamke,itakua 10 alionayo inamzingua,, we love once,,,, ukimpoteza unaempenda ni matter ya yeye tu kukubali kupatikana manake upendo haufi...Fanya biashara kakujali huyo as long as ana mke wake si mbaya,utapata mume tu

Cha msingi ujue tupo wakati gani,..BBM
Hiyo ni FURSA or else useme kama kuna conditions hujazisema
 
Na usawa huu unapata nafas kama hiyo ni adimu, msimamie tena ifanye kama yako
"hizo ndo fursa adimu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom