Mchumba mwenye uhitaji wa ndoa

my-name

Member
Jun 7, 2017
7
7
Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana sichagui dhehebu
3. Awe na elimu iliyonizidi, Mimi nina diploma kwa sasa
4.awe mwajiriwa sekta binafsi au serikalini
5.awe mwenye kujituma,mtafutaji mwenye kuijali familia na mwenye kutambua majukumu yake km baba ni nn, Mimi pia ni mtafutaji yaani mbali na elimu yangu lkn najishughulisha na ujasiliamari.
6.Umri awe na miaka 29-34 me nina miaka 26
Nia yangu ni ya dhati, midhaha siipendi please
MUNGU AWABARIKI SANA.
.maelezo mengine mengi nafikili tutaelekezana
 
Mwenye miaka 36 vipi huchukui?
Sifa zote ninazo lkn a lilo bit years up!
Kama utaongeza umri pls hit me up thru my inbox
Nipo Katumbasongwe-Kyela vijijini
Mkulima
 
Tusiokua na shule, hatuna sifa! Ngoja nikae zangu mbali na huu uzi,sina sifa zakumiliki huyu dada
 
Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana sichagui dhehebu
3. Awe na elimu iliyonizidi, Mimi nina diploma kwa sasa
4.awe mwajiriwa sekta binafsi au serikalini
5.awe mwenye kujituma,mtafutaji mwenye kuijali familia na mwenye kutambua majukumu yake km baba ni nn, Mimi pia ni mtafutaji yaani mbali na elimu yangu lkn najishughulisha na ujasiliamari.
6.Umri awe na miaka 29-34 me nina miaka 26
Nia yangu ni ya dhati, midhaha siipendi please
MUNGU AWABARIKI SANA.
.maelezo mengine mengi nafikili tutaelekezana
Sasa mkuu mimi unanifikiliaje kwenye haka katangazo kako, nina jiwe pia nalima hoho huku matombo morogoro sina kazi huko serikalini. Naomba unifikilie mkuu
 
Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana sichagui dhehebu
3. Awe na elimu iliyonizidi, Mimi nina diploma kwa sasa
4.awe mwajiriwa sekta binafsi au serikalini
5.awe mwenye kujituma,mtafutaji mwenye kuijali familia na mwenye kutambua majukumu yake km baba ni nn, Mimi pia ni mtafutaji yaani mbali na elimu yangu lkn najishughulisha na ujasiliamari.
6.Umri awe na miaka 29-34 me nina miaka 26
Nia yangu ni ya dhati, midhaha siipendi please
MUNGU AWABARIKI SANA.
.maelezo mengine mengi nafikili tutaelekezana
duh!! hebu tuwasiliane hapa tunaweza kutengeneza kitu tafadhali..0755543803
 
Wenye kujali familia tayari wana familia zao. Unawezaje kujali usichonacho..Vipi mnywaji hutaki? mvutaji je? asiyetaka kupima utachukua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom