Kwanini wanaume wengi ni wambea wakupitiliza?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,821
2,000
Mambo vp wakuu natumai wazima kabisa.
Kulikoni ndugu zangu mbona hali imekua mbaya sana kwa wanaume wa tanzania? Yani wanapita hadi dada zao kwa umbea.

Zaman umbea tulikua tunajua wameumbiwa wanawake lakin saivi wanaume wamewazidi dada zao. Hii inakuaje wakuu?

Je kuongezeka kwa vitendo vya ushoga kunatokana na wanaume kuwa wambea kupitiliza au inakuaje wakuu?, Sasa unaona ulimwengu wa wanawake unavamiwa kwa kasi

Ni sahihi real men na midevu yake akae kitako apige umbea?

Ipi njia sahihi kwa hawa kaka-dada kuacha umbea coz haiwezekan hali iwe hivi siku zinavyozidi kwenda watakuja kucheka kama akina dada kabisa heee, weeee, ujibebe nakufata mitindo mingine ya wanawake kama mavazi na kujipodoa na kupumuliwa maana wivu wa kike ukizidi sana basi ndo kwaheri?
 
Bobdon

JF-Expert Member
Jun 8, 2017
202
500
Umetukosea sisi wanaume humu ndani mkuu.

Wanawake ndiyo wambeya kupita kiasi mfano SHUNIE. Hiki kimwanamke kinajulikana kwa umbeya humu JF.

Hiki kimwanamke atakayekioa atakuwa kapeleka laana nyumbani.

Halafu kinajifanya kina hasira hatari wakati ni kimmbeya sana.
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,869
2,000
Umbea au kusema au kujihusisha na mambo yasiyokuhusu miongoni mwa vijana wa kiume ni ishara kuwa wanaume wengi hawapo kwenye mstari wa uanaume na wamejitoa kwenye uwajibikaji kama wanamume......

Kwa sifa mwanaume ni kiongozi na uongozi wake unapimwa kutokana na mwenendo wa jamii iliyomzunguka kuanzia ngazi ya familia na taifa kwa ujumla......

Hata hali ya mmomonyoko wa maadili tunaoushuhudia sasa hivi katika jamii zetu....unakuta kuwa ni kutokana na sisi kama wanamume kushindwa kusimamia mambo ambayo tulipaswa kuyasimamia....kwa kuwa jambo lolote baya kwenye jamii linaanzia ngazi ya familia......maana yake ni kuwa ni kuwa kama wakina baba ambao ndio vichwa wa familia wangesimama kwenye mstari haya mambo tunayoyashangaa na kuyalaani tusingeyaona kabisa......

Mwanaume kuwa mmbea ni moja ya athali za wanaume kutoka nje ya mstari....kwa kuwa mwanaume kama kiongozi ana mambo mengi ya kufanya ambayo yanamuweka mbali na ujinga huo.....badala yake wanaume wanayakimbia majukumu yao....na kujikuta muda mwingi hawana la kufanya na kujikuta wakiangukia huko....at least vijana wa vijijini wanajitahidi kubaki kwenye mstari wa uanaume.....ambao walau ukifika maeneo hayo unaweza kukutana na chembe ya maadili.....

TUJISAHIHISHE
 
ikyenja

Senior Member
Mar 18, 2017
103
225
Uko uhayani nini!? Usikute hata Mwl wa kiume husimulia watoto wa kike mambo ya kijinga sana hadi kero
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,870
2,000
weka mifano na picha ili ueleweke zaidi otherwise hawataelewa...kama kumlaumu mbuzi kutopiga mswaki!
 
kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,037
2,000
Kwasababu wanapenda mapenzi kuliko kazi, wanajisaulisha kuwa mapenz ni uhongo mtupu.
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,921
2,000
Mambo vp wakuu natumai wazima kabisa.
Kulikoni ndugu zangu mbona hali imekua mbaya sana kwa wanaume wa tanzania? Yani wanapita hadi dada zao kwa umbea.

Zaman umbea tulikua tunajua wameumbiwa wanawake lakin saivi wanaume wamewazidi dada zao. Hii inakuaje wakuu?

Je kuongezeka kwa vitendo vya ushoga kunatokana na wanaume kuwa wambea kupitiliza au inakuaje wakuu?, Sasa unaona ulimwengu wa wanawake unavamiwa kwa kasi

Ni sahihi real men na midevu yake akae kitako apige umbea?

Ipi njia sahihi kwa hawa kaka-dada kuacha umbea coz haiwezekan hali iwe hivi siku zinavyozidi kwenda watakuja kucheka kama akina dada kabisa heee, weeee, ujibebe nakufata mitindo mingine ya wanawake kama mavazi na kujipodoa na kupumuliwa maana wivu wa kike ukizidi sana basi ndo kwaheri?
Hata wewe umeleta umbeya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom