Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Habari wana JF! Kuna kitu nataka share na nyinyi juu ya matokeo ya Thank You so ni fupi kidogo but tutajifunza kitu kulingana na ulivyopokea!
Kumekuwa na trend ya uzinzi kuongezeka but wengi hawajui inaanzia wapi! Mfano unakuta binti wa watu mzuri mlokole tu but imetokea shida sehemu hana msaada i.e fedha etc so ikatokea njemba tu hata hana plan ya kusex nae anamsaidia but ule msaada binti wa watu anataka kusema thank you! Anajifanya na yeye raia wa India hawezi sema asante only kwa kushake hands so anagive back utu wake na matokeo yake mimba zinatokea kwa sababu ya thank you!
Or unakuta house maid wa watu kapata kazi, house wife hata hajui kupika kila kitu anafanya yeye later on wife anakuwa na wivu then anamfukuza maid but mshua anaenda kumsaidia naye binti anasema thank you! Nyumba ndogo inaanza bila hata kujua kuwa mke ndo ulikua chanzo kwa kutokua mama bora wa familia coz majukumu yote ya ndani maid ndiyo amikuwa anayafanya! Ulipomfukuza baba wa watu kaumia moyo, akaenda kumsaidia kwa nia iliyonjema naye maid akasema thank you!
Wengine hata sio wanzinzi but wanasema asanteh kwa nia njema coz kibinadamu anaona umemsaidia kubeba mzigo wake naye anaamua kusema thank you!..,...... .......