tiztizo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 285
- 225
habari ya humu jukwaani?
rejea kichwa cha mada tajwa na tarehe husika?
nilileta mada kwa ajili ya nadhiri ya kuacha kabisa hizi mambo.pia niliahidi kwamba siku 40 baada ya kudhamiria yaani ifikapo 10/6 nitaleta mrejesho na nitaeleza kama ifuatavyo:
1:It is possible to stop this;mpaka sasa sijawahi kufanya na nachukia sana masterbation,so naona kama nimeweza na sitaki kabisa huu mchezo
2:Kuhusu porn;sijawahj kabisa kufungua website ya porn tangu 29/4/2017 na wala sitaki kabisa na nachukukia hizi videos
3:kuhusu kudumu mda mfupi kunako bed;kwa kipindi chote nime sex mara moja tuu ila nimeshangaa uwezo wa kuhimili mda mrefu mcgezoni.kwa nara ya kwanza mwanamke alisema mwenyewe tupumzike.nime improve sana.
4:Nini hasa kimeni saidia?
nina almost miezi miwili bs nusu nafanya mazoezi kila asubuhi ambapo nakimbua km 5 pamoja na maxoezivya viungo.Pia nimekua mkaji mzuri wa matunda esp tikitimaji pia na mboga mboga,vitunguy swaum,mdalasini.Kwa kweli hata mshedede umeimarika mara dufu nimefurahi sana
HITIMISHO
swala la nguvu za kiume linaepikika bila hata madawa...lishe na mazoezi.pia kujiamni mchezoni ni tiba tosha
Asanteni