Habari wana jamii wote,
Wakristo na waislamu.
Naamini mpo salama.
Kama kawaida wikiendi za mwisho ( jumapili ) huwa tunakutana hapa katika jukwaa hili kwa kupanua ubongo zaidi.
Kichwa cha habari...
Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na watu wengi, Watu hawa ndio mzizi wa hii dunia, Kutokuelewana / Kupuuzwa / kuchukiwa na watu ni kitu ambacho hakitakuletea faida maishani mwako...
Habari wanajukwaa!
Katika jukwaa hili mimi si mwenyeji sana licha ya kwamba huwa nakuja kucheki na kujifunza mambo mazuri mara chache.
Katika hali ya kawaida tu , wanaume ndio tunaojibebesha...
SAVE OUR HUSBANDS!
Why do husbands in Africa die most times before wives? A husband in Africa in most cases is under intense tension because he is responsible for:
Children school fees
House...
Mwanamke huwa haendi mbali, mara nyingi kama akichepuka basi huyo msela unamjua, na siajabu umeshawahi kumkaribisha nyumbani kwenu hata kinywaji ukamkaribisha, ni mara chache Mwanamke anatoka na...
WANAUME.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
( _Mnipende TU Katika Hili)
Usishangae kumuona binti amechukua Maamuzi MAGUMU ya kuolewa na mwanaume ambaye karibu ni mara 2 ya umri...
Bofya Link Hii chini kupata Kusikiliza simulizi Hii " MCHEPUKO WANGU HOUSE GIRL".
https://soundcloud.com/mvumbagum/mchepuko-wangu-housegirl
SIMULIZI NYINGINE FUPI YA KUSISIMUA
PENZI LA DHATI...
wanaume wengi wanaonekana wachovu kwenye suala zima la 6 kwa 6, wanaume hawa ni wale wanaowahi kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao hawajafika..
Leo naomba nitoe njia za asili kabisa za...
Naomben ushaur kwenye hili...
Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs
Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs...
Kilichofanya...
Ushaur wangu kwa nyie wadada mnaotafuta wapenz humu
Acheni kutembea kwenye makundi mda wotee,marafiki sio vibaya bt uwe na ka mda wa kuwa peke yako kwenye mizunguko yako mnatutesa sana...
Maisha ni safari ndefu sana kwa wale ambao tumepitia mambo mengi katika maisha.........
leo hii hebu kila mmoja atoe ushuhuda katika maisha yake kipindi cha nyuma hivi uliwahi kuchukua nyumbani...
Heshima kwenu wakuu,
Naandika kwa masikitiko. Hivi hawa wahudumu wa nyumba za wageni kwanini wanijafanya wanajua umri wa watu? Wana kipimio hadi wampangie mtu.
Mimi napenda wanawake wa aina...
Wakuu habari za kutwa kunako mahangaikoni, natumai tupo swalama bin salmin.
.Bila kuchelewa naomba niulize hili swali kama biologists anisaidie or whoever mwenye ufahaham
.Hivi ni kweli...
Unakuta kijana anakuja jukwaani anaelezea kuwa amemtongoza binti fulani kisha bae amemkubalia sasa anauliza afanye nini next. (huu ni udhalilishaji dhidi yetu wanaume)
Mtu anakuja humu anaomba...