Nampenda msichana fulani lakini ana boyfriend

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
3,348
6,875
Wakuu kuna mschana nimemfia sana baada ya kukutana naye tour flan hivi za kitaaluma but ana boyfriend wake Nifanyeje kumuingia japo ajue pendo langu.
 
Kwenye mpira anawkwa goalkeeper kuzuia magoli yasiingie, lakini watu wanashinda. Usigive up na ww cheza kama dinho utampata
 
Anza , kutembea na mafuta kyjelly maana marindious yako yanaweza yakachanwa na huyo jamaa ambaye ni mmiliki wa huyo demu.

Yaani , unapalilia nyota ya kuliwa 0713 Kwa nguvu zote.

Ninyi Vivulana Pumba.fusana.
 
Mkuu mambo ya 0713 siyapendi sana tafadhali ni shaur well
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom