Uzuri wa mwanamke ni akili

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
Dear brothers uzuri wa mwanamke huisha na kupungua ila pambo la mwanamke bora ambalo ni akili yake ,adabu yake ,hekima, busara na upendo wa dhati toka kwenye kilindi cha moyo wake mwanamke bora hudumu milele.

Wanawake warembo hawatulii kwenye ndoa zao na wanawake bora ndio hudumu kwenye ndoa zao .Jipe muda kisha tizama wanawake bora kwenye mitandao ya kijamii utaona kitu tofauti na wanawake warembo kwenye mitandao ya kijamii inahitaji jicho la kipkee kuweza kugundua hili.

Unaweza usiwe mrembo na ukawa bora na mwenye tija kwenye ndoa yako na kila unachokigusa na unaweza ukawa mrembo na usiwe bora kwenye ndoa yako na malezi yako …Dear Brothers kwenye social media tunalike mawazo mazuri au sura nzuri na shape nzuri !!-
9c6efcb2b1488b81441574620d3a03ef.jpg
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
4,007
2,000
Napenda sana mwanamke mwenye akili

na mwanaume pia.............. now days wanaume wameamua kufanya kazi za kike kulelewa sijui wanawaza nini khaaa mwanaume hata kama huna jitahidi onyesha uanaume wako khaa
 

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,480
2,000
Mwanamke anaweza asiwe mrembo,na tabia ikawa mbovu vile vile.Ni asili na malezi humfanya awe wa aina fulani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom