Ushauri wenu muhimu nimpe au nisimpe

Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
750
1,000
Naomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda nami nikampenda kweli ila tatizo lilikuwa moja kila nilipomuomba papuchi alinitolea nje kisiasa Mara Niko Mp nk,Kila aina ya visingizio alivimaliza yaan kiufupi hajawahi nipa kapisa huduma tulikaa muda mrefu sana.Ila huyu binti alikuwa na kiburi kweli ananijibu a avyotaka sametime nilichoka kabisa.Sasa nilipoondoka tukaacha na kuwasiliana ila hivi karibuni kanitafuta na maneno matamu ya kimahaba cha ajabu ni kwamba toka Jana ananambia amekwama anahitaji hela inaoneka ana shida kweli kila muda anasisitiza sasa wakuu mnisaidie nimpe hiyo hela au nimpotezee kama yy alivyonipotezea mwanzo na kula hela zangu.
 
Raphello

Senior Member
Mar 20, 2017
162
250
Kama unayo mpe, kwan ukimpa lazima akupe? We mpe kama unamsaidia mtu mwingine, akiamua kukupa atakupa lakini usimpe kwa kutegemea atakupa fanya kama sehemu ya majukumu.
 
SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
Dalili inaonesha ushampatia hiyo hela mpaka sasa

Kwa kweli..!! Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,, Kwa ufahamu niliyonao, angekua ashapatiwa papuchi na huyo binti na kashakidhi haja angepuuzia asingehata hangaika kuandika uzi, lkn kwa sababu bado ana matumaini ya kupewa chini keshatuma iyo pesa kitambo sana....!!
 
Jozee mkunaji

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
457
1,000
Unafikili anataka mapenz au pesa kwa sababu ana shida hiyo ni njia ya kukaba shida kwako jiongeze
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
564
1,000
Naomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda nami nikampenda kweli ila tatizo lilikuwa moja kila nilipomuomba papuchi alinitolea nje kisiasa Mara Niko Mp nk,Kila aina ya visingizio alivimaliza yaan kiufupi hajawahi nipa kapisa huduma tulikaa muda mrefu sana.Ila huyu binti alikuwa na kiburi kweli ananijibu a avyotaka sametime nilichoka kabisa.Sasa nilipoondoka tukaacha na kuwasiliana ila hivi karibuni kanitafuta na maneno matamu ya kimahaba cha ajabu ni kwamba toka Jana ananambia amekwama anahitaji hela inaoneka ana shida kweli kila muda anasisitiza sasa wakuu mnisaidie nimpe hiyo hela au nimpotezee kama yy alivyonipotezea mwanzo na kula hela zangu.
Unatakaje hapo mbona picha lilisha kwisha alikulingia na wewe mlingia alikuwa wapi mda wote
Me naona ananikumbika akiwa na shidaa tu
 
Mwadunda

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,833
2,000
Ndo walivyo wanaomba hela baada ya kuzingua ili kujua kama bado unajali!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom