mfwimijr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 203
- 152
Nimepitia Uzi kadhaa humu kwenye jukwaa ila nadhani kuna kitu kinakosewa na wanaotangaza kutafuta wachumba au wenzi humu. Mtu anatoa vigezo vya anayemhitaji ila anasahau kuwa genuine characters ni kile kinachomfanya mtu atambukike mwanamke au mwanaume na uwezo Wa kuzaa au kuzalisha mengineyo mbwembwe tu.