Dada kuingilia mambo ya familia kwa wanaume na kaolewa, je asikilizwe?

kidome

Member
Jan 5, 2014
80
125
inaonekana Dada anashauriana na make wake mambo ya familia halaf anakuja kutoa ushaur ambao kimsingi unaonekana umetokea kwa Mme wake.ivi wadau jambo hill nyie mnalionaje??
 
Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,657
2,000
Ushauri kama ni mzuri muupokee ila kama ni mashudu basi mwambie apambane na hali yake yeye na mumewe.
Lakini mambo ya familia yabakie kuwa ya familia. Asimshirikishe sana mumewe!
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,311
2,000
wakati wa harusi mnawaambia karibu kwenye familia yetu...ooh tumeongeza mtoto mwingine wa kiume au sijui wa kike na kujitia mnawapenda ....
baadaye oooh anaingilia mambo ya familia..?
ukiona hivyo hayo mambo yanauhusisha mali ndio maana mnajitia eti si mwanafamilia!

kweli binadamu ni kiumbe mzito, habebeki hata kwa winchi.
 
NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
6,128
2,000
Kama wazo alilotoa ni zuri sio vibaya kulifanyia kazi,au niulize kwani tatizo kitu gani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
69,730
2,000
wakati wa harusi mnawaambia karibu kwenye familia yetu...ooh tumeongeza mtoto mwingine wa kiume au sijui wa kike na kujitia mnawapenda ....
baadaye oooh anaingilia mambo ya familia..?
ukiona hivyo hayo mambo yanauhusisha mali ndio maana mnajitia eti si mwanafamilia!

kweli binadamu ni kiumbe mzito, habebeki hata kwa winchi.
Karibu tena!!!
 
Pricillah

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
724
500
Japo hujaeleweka vizuri ila za kuambiwa unachanganya na zako ili kufanya uamuzi sahihi
 
NTABO wa NTABO

Senior Member
Jun 25, 2017
181
250
inaonekana Dada anashauriana na make wake mambo ya familia halaf anakuja kutoa ushaur ambao kimsingi unaonekana umetokea kwa Mme wake.ivi wadau jambo hill nyie mnalionaje??

hahaha!!,
inaonekana unakitu kinaitwa prejudice,,,,unaamini
kwa lolote litokalo kwa dada ni baya,,,,,
ruhusu ubongo ufanye kazi,,,
inawazekana,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom