Mwanamke kulia njaa kajitakia.

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,021
Habari za wana jf.
Nimekua na maoni kadhaa kuhusu dada zetu kuhusu swala la wao kutoaminika kwa sababu ya jinsia yao unajua katika jamii nyingi duniani mwanamke ndie hutongozwa Kwa maana hiyo kulingana na mazingira anayoishi ndio yanayochangia.

Miaka flan ya nyuma nimewahi kuja na ID flan kama ya kike na picha matata sana ya mwanamke nikaiweka avatar, basi hiyo siku hiyo nikapost mada kama mbili zakike moja wapo yakutafta mchumba. Duu ndugu zangu hapo nilijifunza kitu.

Kwanza nilipata pm nyingi mno hata sikumbuki maana ulikua ni utiriri wa kutisha.

Pili nilielewa wanaume wenzangu udhaifu wao mkubwa ni mwanamke. Kwa hili wanaume hatuna ujanja ni kweli kabisa udhaifu wetu upo kwa mwanamke hivyo basi nikiona hata watu wamevunja urafik au kuwa maadui sababu ya mwanamke sishangai sana.

Sasa kwa ule mtiririko wa watu ukiona mwanamke analia njaa jua kataka tuu.
Tofauti na wale wanawake wanaouza miili kambi ya fisi kule au kwenye social network zipo biashara kibao za wanawake sema wanatofautiana namna ya kujiuza kwa sababu kila mtu ana njia yake.

Kwa kupitia kule pm tayari mwanamke angekua na wateja wake wa kutosha tuu kimya kimya. Kuna mada niliona member alianzisha wanawake wataje idadi ya wanaume waliotembea nao chakushangaza hakuna alietaja zaid ya kukwepa mada tuu.

Hapa napo niuongo mtupu kwani inakua ngumu sana kuweka idadi au mwingine anaishia kutaja watatu na anazaid ya miaka 28, kwel?? hapana hakuana mwenye uujasir wa kutaja zaid ya watu 100 au 500 hivyo wengi wanaona aibu.

Kwa mwanamke wa kawaida asie na makuu kiasi cha chini ya kutembea na wanaumi si chini ya 100 na wale wale wengine ni kwanzia 1000 na kuendelea.
Embu fikiria mitandao ya kijamii, mitaani, vyuoni, kazini na sehemu nyingine mwanamke anakua kakutana na watu wangapi?

Akianza kuomba pesa kwa team yake hiyo atatengeneza Tsh ngapi?
Chakushangaza hizo pesa sijui zinaishia wai sababu maisha yao ni yale yale tuu.
Ukitoa gharama za vipodoz na saluni na mahitaj yao private bado unabakia mpunga mrefu sana na wengine hata hawavai sana pamba kalii lakin bado wanalia njaa, this is amazing!..

Hizo pesa zinaenda wapi, ukichek hata simu kali wanayotumia hamna zaid ya vitekno? Wanaume kadhaa nimeshuhudia wakilia kulizwa malaki na mamilion ya pesa chakushangaza hatuoni output ya maana kwa hao wanawake. Sishangai taifa kubwa kama marekani kutomuweka mwanamke rais bora Trump tuu.
 
sijawahi kulia njaa, silii njaa na sitolia njaa kwa kutegemea hela ya mwanaume, mtoa mada ungekuwa mwanamke sasa hivi ungekuwa umekufa na maradhi kwa tamaa zako za kupenda vya kupewa
Huwaga mnasema kwani?
Embu wacha ujinga, hao wanaopiga wanaume mkwanja sio hao tunaopishana nao daily au? mbona hawafi?
 
We jamaa ulitumia ID ya kike ilikutuchunguza wanaume ili IKUSAIDIE NINI

Maana nafikiria lengo lako hata silipatii picha

Lengo lako lilikua upige pesa za wanaume kwa kujifanya wakike au

Au ndo zile ajenda za siri za akina DAVID CAMEROON
 
Nimeishia kusoma pale ulipoandika ulikuja na I'd ya kike na kupost thread ya kutafuta mchumba...

Why would a straight man pose like a woman???

Afu usikute kuna MTU anakuita baba!
Ulijua lengo langu?
Sion cha kushangaza hapo labda kama una nia mbaya ya mm hapo ushapata pakujiegemea.
 
Mlolongo wa wanaume kutamani kuwa wanawake inazidi kushika kasi, sijui tatizo ni nini aiseeh!!
Si kweli ladba we hutamaniwi kwasababu huna mvuto.
Pia wengine wameacha mahusiano kwa sababu ya usaliti ila bado wanataman wanawake.
We kama hutongozi isiwe gia ya kusma wanaume hawataman!
Vinginevyo na ww ni mle mle tuu.
 
Back
Top Bottom