Penzi la mapacha lanitatiza

Penzi la mapacha lanitatiza

Handsome man

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
880
Reaction score
959
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa mjini Dar slaam boy miaka nakaribia early 30 na experience ya kula papuch tofauti tofauti, mwaka Jana nikaona nitulie baada ya kushauliwa na bi mkubwa.
Nikajiingiza kwenye mahusiano rasmi a mean ya kuelekea ndoa sio hit and run(vijana wa mjini wanaita) na binti mmoja wa mjini mtoto mkali nn ukicheck pale kati umbo nane flanii hiviii la haja na kichwan yuko fresh tukafanya makubaliano then mapenzi yakawa bampa to bampa
Kilichofanya niandike huu uzi ni baada ya kunitambulisha kwa pacha wake in short wanafanana kila kitu yani kuanzia juu mpaka Chini, tukaongea frsh nn akuchukua namba yangu then tukawa tuna talk kama mtu na Shemeji yake, mchumba wangu miez mitatu iliyopita alipata safari kwenda Nairobi ko akadai niendelee kumpa support twin wake ya story nn ili asi feel bored daaah mzee mzima sikuona hiyana nikawa natimba kwa Shemeji, cha kushangaza Shemeji akasema ananitaka niwe mpenz wake tukiwa pamoja mitego ya ajabu ananipa niki mwambia mm natoka na pacha wake anadai mbona pacha wake wanafanana kila kitu kwa nini mimi nagoma kuwa nae? ,kiukweli wanafanana mpaka hapo nakosa pointi ya kumkataa
Niko point of dilemma wakuu, nawaza niamushe majini ya zamani ya kutafuna papuch au niache, na nikiacha naona lawama hivi kutoka kwa pacha kama siwezi kazi, nipeni ushauri wakuu
 
Wewe acha pepo la ngono na tamaa khaaa mueshimu uliye nae unataka ule kuku na manyoya yake muone vile
 
Wewe acha pepo la ngono na tamaa khaaa mueshimu uliye nae unataka ule kuku na manyoya yake muone vile
Yeye ndo ananitaka na sababu za kumkataa hazina mashiko kwa sababu wanafanana kila kitu
 
Mara nyingi huwa wanashare hawa watu, kwa nature yao mmoja akipenda automatically na mwingine atazimika pale pale. Na hilo wanalijua, uamuz mikononi mwako lakini.
 
Wana majaribu hawa...sitaki hata kukumbuka walivyonitenda mapacha..acha kabisa
 
Back
Top Bottom