Kuna wanawake kadhaa huwa wanafurahia sana kuwa wao kila wanapopita wanaume wanawatongoza. wanaongea kwa majidai sana na furaha kama vile ni jambo la kujivunia.
Ukweli ni kuwa mwanamke ukiona...
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.
Chai ina nafasi ya...
Unataka kuolewa? Umejipanga? Nimeipenda hii wadada wenzangu.
Akina dada wengi tunapenda sana kuolewa; lakini ni wachache sana wanajua namna ya kukaa mkao wa kuolewa, na pia namna ya kuchambua...
Habari wanaJF,
Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.
Kwako shemeji Mkurya,
Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu...
Wajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama...
Wadau,
Naomben ushauri, mimi nina ndoa ya kikatoliki lakini kuna mwanamke natamani awe mke wangu pia, yeye anasali Pentecoste.
Je inawezekana nikafunga nae ndoa kanisani kwao au hata Bomani...
Kama kawaida yetu wakuu huu ni mrejesho kwenu ndugu zangu.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kwa hili mimi nitaoa Rwanda.
Sisi ni kama ndugu kanuni yetu ile ile ya...
Ndugu zangu,
Naomba mnisaidie, Taratibu za kabila la wapare kuhusu kuozesha mabinti zao huwa zikoje? Kuna rafiki yangu anahitaji msaada haraka ili aanze taratibu hizo.
Nawasilisha.
Wakuu,
Hawa ninaswali kidogo hawa mabinti wanaokua wadogo lakini matiti yao yamelala kama wazazi hivi waga ni nature yao au wanakua walishatoa mimba?
kuna kabinti flani kamenishangaza kabisa...
Hivi humu hamna mtu hata anayeoa au kuolewa?
Mseme jamani mchango sio lazima uwe wa pesa hata mawazo ya waliopitia hayo mambo yanaweza kukusaidia maana issue ya harusi inakuwaga na changamoto...
Najua kwa sasa wengi wameona kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni sifa bila kujua madhara yake.
Sitaki kuhubiri najikita moja kwa moja kwenye swali:
Pale unapompata binti na moyo wako ukampenda...
Wasalaam wakuu....Baada ya salamu naenda moja kwa moja kwenye mada
Wanaume kama ilivyo kwa wanawake, na sisi tuna saikolojia yetu ya maisha. Usipotuelewa unaweza ukatuchukia wanaume wote duniani...
Habari wakuu,
Kuna kautafiti kadogo nimefanya na nimegundua asilimia kubwa ya wanawake waliopo ndoani hawana ujanja wa kuwakwepa ex waliompenda na wakaachana kwasababu flani na baadae kuolewa na...
Habari zenu wana MMU Kama sikosei mwishoni mwa Mwezi June Nililetaa uzi uhusuo Mimi na Kipenzi changu Kuachana Basi nilimsahau kiufupi japo nilikuwa Nampenda Kiasi!
sasa kila nikitazama our old...
Kiufupi mimi na best friend wangu ni watu wazima tuko na familia zetu. Nilitangulia kuoa yeye akawa best man wangu na mimi kulipa fadhila nikawa best man kwenye harusi yake baadae.
Mimi na rafiki...
Bwana apewe sifa!
Leo naongelea swala la kudharauliwaaa na kijidharauuuu binafsi kuona hustahili vitu flani flani adimu, wewe ni wa chini sanaaa, kutokana na maisha flani ulio pitia unaona baadhi...
NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl]
Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa.
Baada ya hiyo hali kumchosha house...
Jamani tunapoelekea sahivi sio kuzuri leo nimekutana na mdada mwembamba mno lakini yale makalio yake sio ya nchi hii na the way back huyu dada alikuwa ni flat sana sasa nkajiuliza mzigo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.