FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,094
- 1,358
Wajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama ndio chanzo sababu hata yule aliyenisaliti sikumpenda kwa dhati. Kwa kifupi usaliti wake ulinisaidia sana kumuacha. Ni kweli Kuna kipindi huwa sitamani hata kukaa na mwanamke karibu, huenda ndio ikawa sababu Lakini bado siamini sababu napenda sana kukaa na Maza angu..
Au labda sababu nakinyaa sana (uwa nikiona Pd ya ke uwa nakosa hadi hamu ya Kula. Yani itanitesa kiakili hata miezi3 au habari za kuzama uvinza,aisee siwezi kwakwelii) Hii hali nishashindwa kuivumilia.Mnisamehe buree...Au labda sababu wanawake hulaumiwa sana..(Chanzo cha usaliti).. Au labda sio lazima wote tuoe.
Lakini pamoja na yote hayo, bado natamani kupata katoto ka kike!! wakuu, hakatakuja kufanyiwa malipo kweli hapa hapa duniani ? Au nibadilishe nitamani ka kiume!!! Kiafya sina tatizo lolote. Kuhusu kuumiza mwanamke sijawai pia, daima huachana kwa amani bda ya kumtafutia kosa.
Huwa namuonea imani sana mdada anayeleta story za sijui ndoa yetu, Yani hapa ndio huwa sichangii point hata km swali linahusu ndoa ya Daud Bashite
Aiseee sijui kama nitakuja kuoa!!!