mr never give up
Member
- Jun 28, 2017
- 13
- 4
Ivi wadau! Inakuwaje kuchezea hisia za mwenzio ilhali ukijuwa wazi kuwa anakupenda kwa dhati?
DuuuuNi hayo ni maamuzi tuu
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Hyo SMU yako aina Gan D6603??Ni hayo ni maamuzi tuu
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Sonny hilo mzeeHyo SMU yako aina Gan D6603??
Nilicheza na hisia za mtu na mie nikachezewa zangu safii ... Sasa hivi nimekua na adabu sitacheza na hisia za mtu tena
Sony Xperia z5Hyo SMU yako aina Gan D6603??
Upo vizuri mkuuSonny hilo mzee
AnhaaSony Xperia z5
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Malipo ni hapa hapa sema huwa tunajisahau tuu, na ukisahau unajihisi umeonewaNilicheza na hisia za mtu na mie nikachezewa zangu safii ... Sasa hivi nimekua na adabu sitacheza na hisia za mtu tena
Malipo ni hapa hapa sema huwa tunajisahau tuu, na ukisahau unajihisi umeonewa
Sana mwanzoni niliona nimeonewa ila baadae nikaja kumbuka nitesa mtu ... Nikaacha na kujiliza hahahhaMalipo ni hapa hapa sema huwa tunajisahau tuu, na ukisahau unajihisi umeonewa
hahahaUpo vizuri mkuu
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Sana mwanzoni niliona nimeonewa ila baadae nikaja kumbuka nitesa mtu ... Nikaacha na kujiliza hahahha
Ahahahaaaaaa haya banahhahaha
wewe ndio uko vzuri Ney uliye bright
Nimekomaa
Pole sana best, hope hutorudia tena hako katabia
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kwamba mnaigiza mapenziIvi wadau! Inakuwaje kuchezea hisia za mwenzio ilhali ukijuwa wazi kuwa anakupenda kwa dhati?
Tatizo ni kwamba mnaigiza mapenziIvi wadau! Inakuwaje kuchezea hisia za mwenzio ilhali ukijuwa wazi kuwa anakupenda kwa dhati?