Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku...
Haya sio mawazo yangu bali nimeyatoa mahali fulani kwa Dr fulani
COPY AND PASTED
Wanaume wengi tumekuwa Na matatizo katika kufanya mapenzi Mwanaume unatakiwa kwanza umwandae mpenzi wako kwanza...
Msaada kwenu wakuu,umbo langu ni dogo dogo halafu kila couple inayo happen inakuwa ni le big mamas,inafikiwa wakati hadi home wananisema nadate mama zangu,
Nifanyeje mwenzenu mana hizi show...
Za saa hizi wakuu, nimekuta pete ya dhahabu ambayo kama imeshavaliwa vile ina kito cheupe ndan mkoba wangu.. Imeingiaje sijui nshaanza kuogopa ni nini hiki??
Wanajamvi
Salaam;
Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwaka sasa nimekumbwa na tatizo ambalo ni la kushangaza. Nna tatizo la uume kushindwa kusimama kwa mwanamke...
NATAMANI MAHOUSEGELI WOTE WANGEKUA HIVI. ..
NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl]
Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa...
Habari wapendwa. Naleta hii mada kwenu ili tuweze kuelimishana. katika kuzunguka zunguka kwangu nimegundua kuwa familia zenye furaha, amani na upendo ni zile ambazo mke na mume walianzia maisha ya...
Wanawake ni watu wazuri na watu wabaya sana. Akiamua kucheza na akili yako utafurahi. Niende kwenye mada husika nikirejea kisa kimoja ambacho mpaka leo namtafakari yule mwanamke.
Ni miaka kadhaa...
Habari za jioni wandugu
Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha
Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s...
Wakuu nimekua najiuliza kua hivi wanawake/wasichana hawawezi kuyapenda mapenzi bila kuhongwa au?
Haijalishi mdada awe anajiweza kiuchumi au laa lakini bado anaweza chepuka sababu ya kuhongwa tu...
mabestitooooooooooooooo
Yaani nashindwa hata nianzaje nimeingia kwa vishindo ila nakosa tamko,
kila nikiachungulia humu ndani naona vipaji vipya vile vya zama ile sijui ndo vimekuwa
busy au ndo...
Wakuu wasalaam
Kumekuwa na jitihada kubwa zinazofanywa na akinadada kujipendezesha miili yao. Wengine huenda mbali zaidi kwa kuboresha muonekano wa makalio kiasi cha kupindisha shingo za...
wakuu tujadiliane kuhusu hili suala,,,,,hivi nini kinapelekea wale wanaotahiriwa kwa ngariba kuwa na nguvu nyingi za kiume na dhakari kubwa kuliko wale wanaotahiriwa hospitali?
Habari za mida wakuu,
Nisiwachoshe na blah blah. Kwa miezi 7 sasa naishi mkoani baada ya kuamua kurudi mkoani mwaka jana kwa shughuli zangu za uwekezaji mdogo mdogo. Sasa kwa muda wa wiki 2 sasa...
Asalamu Alaikum
Jamani wana Jf mwenzenu ni mgeni kidogo wa jiji hili la Dar nimekuja kwa ajili ya msiba na nataka nikimaliza msiba niende Tanga kuangalia fursa za Biashara.
Naomba mwenyeji wa...
Habari wana Love connect,
Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar...
Nina mshikaji wangu kila tukisafiri nae kwenda mikoa tofauti tukifika haichukui muda kashazoeleka na watu gafla wanamfahamu na hata msaada pia kama tumekwama tunasaidiwa haraka na jamaa...
Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.