Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,205
- 36,752
Najua kwa sasa wengi wameona kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni sifa bila kujua madhara yake.
Sitaki kuhubiri najikita moja kwa moja kwenye swali:
Pale unapompata binti na moyo wako ukampenda kweli, lakini siku ya siku ukagundua kwamba aliwahi kushiriki mapenzi kinyume na maumbile.
Vipi huwaga mnalichukuliaje? Au kwa ambaye hajakutana nalo bado vipi mtalichukuaje?
Kupitia majibu mtakayotoa wakina dada mnaoendekeza hizi ngono mjifunze kitu.