Usijidharau, you can become anyone and anything

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Bwana apewe sifa!

Leo naongelea swala la kudharauliwaaa na kijidharauuuu binafsi kuona hustahili vitu flani flani adimu, wewe ni wa chini sanaaa, kutokana na maisha flani ulio pitia unaona baadhi ya vitu ni ndoto na haviwezi kua, jioni ya leo nakuletea ujumbe kuwa MUNGU WETU NI MUNGU MWENYE NGUVU, NI MUNGU WA MAAJABU, ANAMUINUA YOYOTE NA POPOTE. Tupate mada.







 
nice to hear you..thanks i need to hear something like this much
 
lara 1 the Pastor.....mie ntakata tamaa siku nazikwa. Namshukuru Mungu amekuwa mwema sana kwangu. "Be till, and know that I am God" Psalm 46:10
 
Back
Top Bottom