Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nadhani mapenzi ya wizi ni matamu sana,kuna dada kamdanganya mmewe kua ana sup wakati hana yupo kwa mchepuko,kanogewa vibaya na nilimuuliza unafata nin akasema namfata J ananifanya kweli...
11 Reactions
87 Replies
9K Views
Mimi ni mwanamke umri miaka 40.. Nina watoto..nahitaji kampani ya mwanaume alie single... Ambae aliachwa na mke au alifiwa, au aliacha mwanamke kwa sababu isiyoweza kuvumilika..awe...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Ebhana niaje? Kama kawa kama dawa Na makamuzi yanaendelea manake naona kila chocho kumejaa nyomi za watu wanashangweka sikukuu ya Eid, anyway sio kesi ila kilipofikia kipindi hiki cha sikukuu...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Hii imekaaje... Na wengine ni wanaheshimika kabisa..
0 Reactions
19 Replies
2K Views
[Capital Lifestyle Magazine] A woman has tied the knot with a man three years after proposing to him on Twitter as a joke. In 2014, Llia Apostolou asked a stranger to pretend to be her husband...
2 Reactions
3 Replies
955 Views
Wakuu, Naomba kuuliza, je kabla ya kufunga ndoa naona watu wengi huwambiwa wakapime HIV. Je hii huwa ni sheria ya serikali ama? Maana watu washamenyana sana then unawaambia wakapime? Naomba...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau naomben ushauri.....nimegundua kuwa mke wngu mtarajiwa anavuta bangi....nilikua sifahamu hapo mwanzo sababu alinificha....nimemfumania akivuta chumbani niliporudi toka kazin bila...
1 Reactions
96 Replies
17K Views
TUUMIZE VICHWA KIDOGO KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi; Mteja: Samahani, naomba kujua...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Niaje wakuu, Leo nikiwa kitaa nimekuta watu wakibishana eti kama wewe ndo baba unarudi nyumbani alafu unakuta mvua inanyesha na nyumbani hakuna mtu alafu juu ya kamba kuna nguo za binti yako...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari za majukumu wana jf wote.. Na Habari za weekend.. Bila kupoteza muda hebu twendeni kwenye maada moja kwa moja.. Mwenzenu nina mpenzi wangu ambae tumedumu kwenye dimbwi zito la mahaba...
2 Reactions
95 Replies
9K Views
Habari ya weekend, Hivi kuna mwanaume anayemsaidia mtu (mwanamke) bila sababu za kimapenzi, iwe pesa au vitu vingine vyovyote akupe tu yani anakupa tu burebure yupo kweli? Kabisa akupe pesa/ vitu...
4 Reactions
299 Replies
19K Views
Wanawake wenzangu hii ni aibu na kujivua heshima na kutuvunjia heshima wanawake wenzio pia. Leo nimeshuhudia rafiki yangu akitongwa na Leo hii amuvuliwa nguo mbaya zaid kwenye gari loh! Ndiyo...
43 Reactions
543 Replies
53K Views
1. It does not matter how slowly you go as long as you do not stop. 2. Never form a friendship with a man who is not better than you. 3. When anger rises, think of the consequences. 4. When it...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa kuna ujumbe mzuri sana kwa watafuna MA house girl. Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa. Baada ya hiyo hali...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Hi tabia inakera sana, wanawake jaribuni kubadilika, mtu hata hakutaki wala hana wazo la kukutongoza lakini akikusemesha kidogo tu, utadhani amekutongoza miaka mitatu mfululizo, majuzi nimepoteza...
5 Reactions
63 Replies
12K Views
Kuna hii tabia ya watu waliokata tamaa ya maisha wanadhani kuwahi kuoa na kuwahi kupata watoto ndio suluhisho la matatizo yao, basi wanataka kulazimisha kila mtu awe kama wao. Watu kama hao...
28 Reactions
141 Replies
17K Views
Katika darasa la Saikolojia, mwanafunzi alimuuliza professor nini maana ya mahusiano ya kimapenzi? Professor akasema "ili niweze kukujibu swali lako nenda kwenye shamba kubwa la ngano na uchague...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
[emoji265][emoji265] Bwana mmoja Alimuarifu mkewe ajitayarishe kwa safari ya kuwatembelea wazazi wake (huyo mkewe) Wazazi wa mkewe waliishi mji ulio kuwa mbali, hivyo ysafiri wa haraka ulikuwa kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya mafanikio mke na Mume kumiliki nyumba nzuri .. Mama wa mume kahamia Kwa mwanae... Ila Kwa sababu flani mke na mamkwe havikuiva kama kawaida. Walianza na chuki kidogo ila kila uchao...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom