Hamna mtu anayeoa/kuolewa? Mseme mpewe mawazo na waliopitia hayo

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,643
44,317
Hivi humu hamna mtu hata anayeoa au kuolewa?

Mseme jamani mchango sio lazima uwe wa pesa hata mawazo ya waliopitia hayo mambo yanaweza kukusaidia maana issue ya harusi inakuwaga na changamoto sana.

Usawa wenyewe huu ni mgumu sana utahitaji kila msaada unaoweza kupewa acheni kujificha nyuma ya pazia kwenye mambo ya heri kama hayo.

Mungu awafanyie wepesi wote mlio katika harakati za harusi.
 
Back
Top Bottom