Haya makalio feki ni halali hapa nchini?

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
Jamani tunapoelekea sahivi sio kuzuri leo nimekutana na mdada mwembamba mno lakini yale makalio yake sio ya nchi hii na the way back huyu dada alikuwa ni flat sana sasa nkajiuliza mzigo huo kaupata waoi nkasema hata kama ni mtandao pendwa unaliwa lakini sio kwa kalio kuvimba vile kama la bashite baada ya kujiuliza sana nikakuta bango kubwa tu limechorwa linaonyesha mtu alivyokuwa hana mzigo lakini alipopata huduma amekuwa ana makalio standard gauge mawasiliano yao ni haya hapa 0689761221.

Hivi hii siku hizi imekuwa halali hadi watu kufanya matangazo na kulipia hayo matangazo halmashauri?
tena hawa watu ndio vinara wa kurangaza kwenye account zao za instagram soudy brown Diva the bawse.
Tafadhali serikali pigenj marufuku huu upuuzi maana itapelekea vitendo vingi vya ubakaji maana siyo kwa mizigo hiyo ikumbukwe tu [HASHTAG]#makallio[/HASHTAG] makubwa hayajawahi muacha mwanaume salama.
NAWASILISHA
 
Ngoja wabandike makalio kwa sasa wawake kama nyota ... Ila yakianza kumomonyoka akili zitawarudi ...
 
Jamani tunapoelekea sahivi sio kuzuri leo nimekutana na mdada mwembamba mno lakini yale makalio yake sio ya nchi hii na the way back huyu dada alikuwa ni flat sana sasa nkajiuliza mzigo huo kaupata waoi nkasema hata kama ni mtandao pendwa unaliwa lakini sio kwa kalio kuvimba vile kama la bashite baada ya kujiuliza sana nikakuta bango kubwa tu limechorwa linaonyesha mtu alivyokuwa hana mzigo lakini alipopata huduma amekuwa ana makalio standard gauge mawasiliano yao ni haya hapa 0689761221.

Hivi hii siku hizi imekuwa halali hadi watu kufanya matangazo na kulipia hayo matangazo halmashauri?
tena hawa watu ndio vinara wa kurangaza kwenye account zao za instagram soudy brown Diva the bawse.
Tafadhali serikali pigenj marufuku huu upuuzi maana itapelekea vitendo vingi vya ubakaji maana siyo kwa mizigo hiyo ikumbukwe tu [HASHTAG]#makallio[/HASHTAG] makubwa hayajawahi muacha mwanaume salama.
NAWASILISHA
Uwe unaweka na picha

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kazingua kalio liko wap au ndo hash tag makalio

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Unafkir kaz ya mchina hapa
Tz n kuangaika na

mabarabara tu na matuta pia
Wanawatengenezea dada zetu hawa
 
Jamani tunapoelekea sahivi sio kuzuri leo nimekutana na mdada mwembamba mno lakini yale makalio yake sio ya nchi hii na the way back huyu dada alikuwa ni flat sana sasa nkajiuliza mzigo huo kaupata waoi nkasema hata kama ni mtandao pendwa unaliwa lakini sio kwa kalio kuvimba vile kama la bashite baada ya kujiuliza sana nikakuta bango kubwa tu limechorwa linaonyesha mtu alivyokuwa hana mzigo lakini alipopata huduma amekuwa ana makalio standard gauge mawasiliano yao ni haya hapa 0689761221.

Hivi hii siku hizi imekuwa halali hadi watu kufanya matangazo na kulipia hayo matangazo halmashauri?
tena hawa watu ndio vinara wa kurangaza kwenye account zao za instagram soudy brown Diva the bawse.
Tafadhali serikali pigenj marufuku huu upuuzi maana itapelekea vitendo vingi vya ubakaji maana siyo kwa mizigo hiyo ikumbukwe tu [HASHTAG]#makallio[/HASHTAG] makubwa hayajawahi muacha mwanaume salama.
NAWASILISHA
Hàhaha unatangaza biashara yko kisaniiii we mjanja

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kitengo cha masoko kazini

Mkuu halafu nashangaa hao wachina wenyewe wanaouza hizo dawa wanawake wao hawana Mizigo ya Haja ila kwetu Africa ndio kwanza wanazing'ang,ania...dada zetu bwana
 
Hatutaki tuna komaa nayo ya kwetu haya haya.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
No wonder you're advertising it , Business on plan

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom