Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,411
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai na mkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
 
Mambo,bibiye nilitamani tuyajenge mubashara hapa,ila kwa vile umeolewa ngoja niwe mtazamaji
 
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
Tuko pamoja Muhenga...!!
 
Yani uniwekee mezani chai badala ya msosi wa maana ukizingatia maisha ya ofisini sasa hivi yalivyo, ukitoka jioni Salama bila kutumbuliwa unamshukuru mungu
 
Back
Top Bottom