Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala. 2:Kupigiwa simu...
7 Reactions
162 Replies
10K Views
Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa. Asiwe...
18 Reactions
215 Replies
42K Views
Umri 22-25 elimu ya Sekondari na kuendelea umbile awe mrefu, mweupe na umbo la wastani mwenye 'wowowo' Kabila Mchaga, Msukuma au Mmasai. Niko Dar es saalam ni Mkristo, umri wangu miaka 35...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hiki kitu huwa kinanishangaza sana hasa kwa sisi ' Wanaume ' pindi pale tunapokuwa ' tunawatongoza ' hawa Mademu zetu. Hivi kama kumbe lengo lako ni ' Kumbandua ' tu ( Kufanya nae Mapenzi ) sasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea...
1 Reactions
87 Replies
7K Views
Mara nyingi kuna Kero kubwa sana huwa inajitokeza hususani kwenye ndoa za vijana .. Kuna mambo vijana sisi bado hatujajua hususani kwenye ndoa Zamani enzi wa babu zetu mabinti walikua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mda huu wana Jukwaa pendwa la MMU. .. Wacha niende direct kwenye mada Kuna katabia fulani kwa baadhi ya wazazi kwamba utakuta wanakuchimba biti mtoto wa kiume kuwa ole wako ulete mimba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Lugha 18 za hatari 1)Sina mtaji - 2)Sina Connection 3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu 5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma 6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
dah nisiwachoshe members kwenye shughuli zangu nilikutana na binti mkali sana hii ilikua kabla ya ramadhan ingawa yy sio muislam basi mtt wa kiume nikajitutumua nikaomba namba dem akatoa tena...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Ni kuwa kuna watu hujitokeza kutafuta wapenzi, wake, waume wengi wameishia kulizwa na kupata mateso mbali mbali, kuna dada mmoja alikua anatafuta mume, alipata kweli...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Hello guys Leo inabidi tuambiane ukweli, kuna baadhi ya wanaume ambao sijui ndo tuite "nzi kufia kwenye kidonda" yani utakuta mwanaume anamfukuzia mwanamke kwa miaka 3, kisa ni nini? eti oh yule...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari zenu, Kwa wanawake mlioolewa. Hata wale ambao mnaishi na wenzenu nyumba moja. Katusimulia yote haya muhusika na mengine nimejionea mwenyewe. Unajijua kabisa upo kwenye ndoa yako. Na...
9 Reactions
72 Replies
9K Views
nina kaka yangu kaja juzi tu kunitembelea hapa ninapokaa kumbe kuna mke wa mtu alikuwa anammezea mie nilikuwa sijui sasa leo ndo ananiambia mtoto kakubari ndo anaenda kumla usiku huu,mme wake kazi...
8 Reactions
127 Replies
20K Views
Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bandugu, Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadilishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama...
14 Reactions
85 Replies
50K Views
Habari, Hivi mahari imekuwa ndiyo chanzo cha wanaume kuwanyayasa wake zao, nini maoni yako?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanamke aliyefundwa akafundika hawezi kupokea au kukagua simu ya mpenzie,ukiona mwanamke yupo hivyo juakuwa amekosa adabu,utii na hafai kukaa naye ndani ya nyumba. ======= Katika mambo yaliyo...
10 Reactions
93 Replies
11K Views
Habari za kuamshwa wandugu, Nilibahatika kukutana na mrembo mmoja, tukafahamiana, na kuwa marafiki. Awali kabisa alianza kufunguka bila ya kumuuliza maisha yake kabla yangu yalikuaje, alianza na...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakuu. Ni siri kubwa sana kuwa na uhakika kama mtoto huyo ni wako au hao watoto ni damu yako halali. Mwanamke anaweza kutembea na mtu wa nje mchana akapata mimba, then wewe ukitembea nae jioni...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Asaalam ndugu na Jamaal!! Naomba kutambua ni faida zipi za kufanya mapenzi ingali mi na miaka 21. Nategemea kuanza mapenzi nikimaliza chi0!! Na zipi ni hasara za kutokufanya mapenzi kwa muda...
0 Reactions
37 Replies
13K Views
Back
Top Bottom