Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni mwaka wa saba sasa sijakuona, Nayakumbuka maneno yako uliyonieleza uliponiaga kipindi kile nakusindikiza kupanda basi kurejea nchini Tz. Mpaka leo sauti yako haijanitoka uliponiaga na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau kama kichwa cha habar apo juu nikwamba daah am stil single this kills me nataka msichana jamani eeh dem yyte awe dar apa not above 35 mimi nina 25 yrs.....ur welcome ladies...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Haina ubishi kuwa kuna watu wako single hadi wanajiogopa wenyewe, karibia kila siku wanaweza kujiuliza hili swali zaidi ya Mara tano na huwa pengine wana kosa majibu, au wana pata njia za ku solve...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Inakuaje? Iko hivi wadau, soote tunatambua kwamba mwanamke hutoa miguno na vilio vitamu wakati tunawagonga, ni vizuri saana mkitoa miguno na vilio vyenu kwa kweli tunahamasika saana na kujihisi...
8 Reactions
117 Replies
9K Views
Habari, Wadada zangu, Mnapozaa na mume wa mtu kuweni na adabu. Masuala ya kujishebedua, mara kujitangaza ni kukosa heshima. Jifunzeni kuwa wapole na wavumilivu kwa ahadi mnazokubaliana sirini...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Nigerian Mohammed Bello Abubakar, 84, has advised other men not to follow his example and marry 86 women. The former teacher and Muslim preacher, who lives in Niger State with his wives and at...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unamtokea binti anakuuliza kuhusu mahusiano yako ya nyuma, ukimuuliza umewai kuwa na wanaume wangapi utasikia wawili au watatu tena mmoja utaambiwa sijawai kuafanya naye tulikiwa marafiki tu.
2 Reactions
58 Replies
4K Views
ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype... tatizo...
0 Reactions
157 Replies
13K Views
Nina muda unaokaribia miaka 20 katika ndoa lakini bado napata shida nikikumbuka kiapo hiki cha kuwa mwili mmoja kwamba hakitekelezeki, kiliishia na kinaendelea kuishia kwenye maneno. Nimekuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja...
1 Reactions
120 Replies
9K Views
Naitwa Khamis naishi dar ni Doctor to be , Natafuta girlfriend atakaekuja kuwa my wife bdae, Awe na age kuanzia 18-24 yrs ,awe mwembamba wa wastan na ni muslim bt hata kama ni din tofauti it's k...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Habari wakuu! Hatimae nimeingia jijini kwa mara ya kwanza ile siku ya Jumamosi. Kwakweli Bongo ni kama Ulaya. Warembo wa kila aina aisee. Sasa katika harakati zangu za kuliona jiji vizuri...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
natafuta mchumba(mwanamke) wa kuo na awe na vigezo vifutavyo 1. elimu si muhimu sana 2.kabila nalo c muhumu hata kidogo 3. umuri nao ni muhimu sana 19-26 4. Heshima ni kitu mihimu kuliko vyote 5...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari kwenu wana JF, husika na mada tajwa hapo juu. Mke/mpenzi wako anakula, anavaa vizuri anaenda saloon na mkikutana unamsifia amependeza, cha ajabu hujatoa hata mia week nzima hushituki tu...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Napenda ifahamike kwamba kwa uzi huu sitanii na wala sina nia ya kujifurahisha bali kueleza haja yangu kwa mwanamke wa maisha yangu ambaye naamini yupo humu. Natambua kuna mwanamke ambaye naye...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Inanibidi niseme nisiposema basi hawa mabinti watazidi kutamba na ku_spoil sifa za wanawake wengine wenye maadili na hekima njema. Ni hawa mabinti wa Kilokole. Utasikia naenda kwenye mkesha...
29 Reactions
152 Replies
23K Views
Jamani tuacheni ubishi wasukuma ndio kuliko zaliwa mapenzi tanga ni ngono. Hawa jamaa wanajua sana kupenda na niwakarimu kwa watu wote wageni na wenyeji huwaga inafikia hadi wakati wanapoenda Dar...
20 Reactions
169 Replies
30K Views
Jamani Mimi ndugu yenu kuna mdada nilimpenda sana lakini alinipa jukumu LA kumnunulia kiwanja chenye dhamani ya shillingi milioni 5. Mimi mwenyewe nikijiangalia kipindi hicho hela yangu...
1 Reactions
103 Replies
9K Views
Kuna utafiti nimeufanya japo wengi mtaukataa lakini ndo ukweli wenyewe kuhusu wadada. Ni kwamba wadada wengi huwa wana enjoy na hufurahia kuhogwa au kuhudumiwa na mwanaume asiyempenda kutoka...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
mimi ni toto ya kisukuma,binafisi napenda wanawake weupe japo hata black beauty napenda,WASUKUMA ni kweli wanapenda wanawake weupe na ndio mana mwanamke mweupe anaolewa kwa mahali kubwa usukumani...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom