Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;
1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na...
Kama kawaida yangu mwezi wa kumi napataga likizo ,nikamwambia Mr John twende Tanzania upaone ,akasema sawa anataka msichana wa kuwa naye kama kampani
Jana tukafika airport kutokea Singapore...
Habari zenu
Mimi ni kijana Handsome nnayevutia kwa kila mwanamke apitaye mbele yangu. Sina ajira kwa sasa yaani naishi kwa akili ya mjini
Lakini kuna kitu kinaniboa sana hasa hawa wanawake...
Kuna jamaa yangu kuna mwanamke mmoja alikuwa anamfatilia karibia miaka minne akimtongoza lakini huyu mwanamke alimkata Mshikaji na Mshikaji amefatilia mpka kachoka kwa kipindi cha miaka minne...
Usiku wa leo housegirl wa mama mwenye nyumba kaja mwenye we geti kaja kunitega,yani kaja na kanga moja na chupi kwenye bega anadai anataka tucheki muvi kwa ushenzi nikamuekea muvi inaitwa love...
Habari zenu?
Moja kwa moja niende kwenye mada.
Mimi ni mdada mwenye elimu yangu, kazi zangu na malengo mazuri nikipata uhai na kibali cha Muumba.Nilipata mpenzi ambaye tumedumu nae kwa mwaka...
I’m willing to bet that you’ve rejected a ton of women without even realizing it. Don’t believe me? Let me explain how:
When a woman is attracted to you she’ll give you some signals, consciously...
Fahamu baadhi ya mambo ambayo watoto wengi hufanya, ambayo yana faida kubwa sana endapo yakifanywa na mtu mzima, mambo hayo ni kama yafuatayo_*
[emoji736] mtoto au ukamwadhibu bado hapotezi...
Utafiti uliochapishwa katika Jaida la British Journal of Psychology, ulibaini kuwa wanaume huwachukulia wanawake ambao ni warembo kama vyombo vya starehe tu.
Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wengi...
Habari zenu wapenzi?
Poleni na majukumu!!! Naomba nieleweshwe hili, katika mahusiano ya uchumba/ mke, mwanaume hupenda mchumba/mke wake a behave vipi? Ni vitu gani mwanaume asivyovitaka kwa kwa...
Ni mkeo wa ndoa, unampenda sana, unamtunza na unamjali, kwa kila hali. Mara paap unamkuta kitandani na lijamaa linamwaga uno hatari, kibaya zaidi mkeo anampa kwa style ambazo wewe ukimuomba...
Dear friends whoever took the time to read this, I just wanted to remind you that you are unique, beautiful, amazing and smart, because sometimes you forget, I did for quite some time. If you're...
SIFA 15 ZA KIJANA AMBAYE HAJAKOMAA KWA AJILI YA NDOA
♨♨♨♨♨♨
1. Anaigiza maisha. Anataka kuonekana amefanikiwa kimaisha, hajui kuwa anajidanganya mwenyewe.
2. Hana mipango inayoeleweka, anajua...
Habari za usiku wanandugu,
Kama heading ilivyo, mimi ni kijana ambaye bado sijawa economicaly stable, ila nilikuwa na idea ya kuzaa mtotoo na mwanamke ambaye Mungu akijalia ndo atakuwa mke wangu...
Mwanamke uliyepewa heshima ya kuolewa hupaswi kumchunga mmeo ikiwa hudum zote za kimwili na kidunia unapewa bila longolongo.
Kuitwa/kuzaliwa mwanaume siyo maana yake kukaa sebuleni na mke wako...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Niko hapa dar kwa siku mbili tatu hivi kuna mambo fulan nimeyafatilia hapa na yakikamilika nageuka siku yeyote ile...
Matofali 10 ya ndoa bora!
1.Lazima ujue kwamba wewe ni mke na ni wajibu wako kushuka na kumtii mumeo “enyi wake watiini waume zenu kama kutaniko linavyomtii Kristo Yesu”
2.Lazima ujue kwamba...
Hali hii imeanza toka nikiwa shule na bado inazidi kuendelea siku hadi siku. Bnafsi najiona n mtu wa kawaida, naishi maisha ya kawaida, sina dharau na wala cjickii lakin cjui hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.