Ni jukumu gani zito ulilowahi kubebeshwa na mpenzi hadi likakupelekea kukimbia mahusiano?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,683
Jamani Mimi ndugu yenu kuna mdada nilimpenda sana lakini alinipa jukumu LA kumnunulia kiwanja chenye dhamani ya shillingi milioni 5.

Mimi mwenyewe nikijiangalia kipindi hicho hela yangu ilikuwa ni ya kuunga ungaa unga yaani nategemea mishe mishe ndogo ndogo kuningizia pesa japo hela ndogo ndogo ilikuwa hainipigi chenga.

Basi mwisho wa mchezo ilinibidi nikimbiee kwa maana demu nilikuwa nae alikuwa anakomaa kila siku nimtafutie hiyo hela m5 yaani ilifika hatua kila nikiongea nae kwenye simu anaulizia hiyo hela nimtafutie fasta fasta nimpe

Ila dah mwisho wa siku ilinibidi nikumbie na namba nilibadilisha

Je wewe ni jukumu GANI zitoo ulilowahi kupewa HADI kukufanya ukimbie mahusiano ?????
 
Wewe ni kidume wa ukweli,inawezekana vipi nikununulie kiwanja wakati hata mimi icho kiwanja sina.
Ila Mkuu huyo mdada nilimpenda sana ila stress na mawazo ya kumtimizia malengo yake ili mradi nimfurahishe kwa kumpa kile anachotaka mwisho wa siku niliamua Ku surrender tuu yaishee
 
Back
Top Bottom