Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Desperation inasababisha msichana kujirahisisha na kufanya maamuzi ili kumpendeza fulani. Sababu unahitaji sana kuolewa hata akikuambia hamia kwake wewe unahamia maana unadhani kufanya hivyo ndio...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Mpaka mda huu mambo haya ndio ambayo yanayonikwaza sana kwako na kushindwa kukufahamu minajili yako juu ya mapenzi yetu, Ninaomba nipe maelezo ya kutosha juu ya hii hali: Kwanini unashindwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
''Ni mzuri sana najijua. Nimeenea kila idara.'' Alisikika binti akiwasimulia rafiki zake; mtanashati ambaye kwa kweli asingeweza kuachwa kutongozwa na mwanaume yeyote popote akitokezea. Ila sasa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu hamuwezi kuamini hata mimi mwenyewe siamini.Yaani mwanamke wangu niliyekuwa nampenda na ananipenda nashangaa leo ana-behave strange yaani hapokei cm wala kujibu sms zangu.Hata ahadi zake...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari waungwangwana! Hivi kufanana kwa watu huwa inasababishwa na sababu za kibiologia tu au kunafactors zingine
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu...
28 Reactions
264 Replies
25K Views
Pamoja na kwamba kwenye ishu nzima ya mahusiano, upendo, mapenzi na hata matamanio ya kimwili aina za mvuto na ushawishi wa vinatofautiana lakini kuna baadhi ya viashiria ambavyo ndio huwa kama...
19 Reactions
209 Replies
30K Views
Unaweza kuanzisha mahusiano ya kumapenzi na mke/mume/mchumba na mtu ambaye tayari unajua kuwa anampenzi au yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine.
4 Reactions
105 Replies
11K Views
Hi guys, Baada ya wimbi kubwa la vijana, wazee na watoto kujihusisha na hii michezo ya utabiri wa mechi mbalimbali, niliamua kufanya utafiti binafsi. Kwanza nilianza kufanya mahojiano na wadada...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna Rafiki yangu mmoja hadi hivi naandika huu ' uzi ' nadhani atakuwa na maumivu makubwa sana moyoni na sidhani kama atakuwa tena yule niliyekuwa nimemzoea kwasababu tu na ' Kauli ' alizoambiwa...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Tokea meibuka kwenye mziki, ukiwa unamfuatilia demu uka mdedicate Moja ya Ngoma zake umewin Hebu ona
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa Hali isiyo ya kawaida mwanaume amemuoa mwanaume mwenzake bila kukusudia , Hii imetokana na mwanaume alipopiga simu akakosea namba aliyepokea ni mwanaume anayejifanya mwanamke nankutumia sauti...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani wazima, Duuh huku fb vipi, mbona hatari yaani binti ukimjaribu tu inbox huyoo amejaa hebu tupeane mbili tatu huku fb maana kule kutongoza ni kama unawinda zizini kila ukipiga risasi lazima...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Huyu jamaa tupo naye ofisini ni half cast flani hivi, ila ni mwaribifu sana. Leo ndo nimeshuhudia jinsi wanawake ambavyo wanaweza kuungana kumshambulia common enemy. Jamaa huwa akiwa ofisini...
16 Reactions
88 Replies
10K Views
Kama title inavyojieleza Ujue kuna wanawake wengine wanatafuta lawama sana au mnaforce ndoa kwa gia hiyo ya kujilengesha siku za hatari ili mpate mimba?? Demu anajijua kabisa Leo yupo siku ya...
9 Reactions
77 Replies
7K Views
Kweli naanza kuamini kua baadhi ya vijana kutongoza ni janga kubwa kwao na wengi wao wanajikaza kisabuni kumalizia hasira zao kwenye punyeto, na hili naliona ni janga kama lilivyo tatzo la ajira...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
I got an invitation from my friend, i visted her in dar es salaam, life is good, city is good too Accommodation is easy to find, plenty of estate agents everywhere, prices for apartments range...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Wasalaam members Jamiiforums, naamini tunaendelea vizuri katika kuijenga Tanzania ya viwanda. Hivi mtu anayehonga pesa/vitu hapa nawalenga zaidi wale wanaohonga mambo ya gharama mfano mwanaume...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
[emoji115]Habari wakuu! Jamani naombeni kuuliza telbox Tanzania ni ya kweli nimetuma pesa toka asubuhi hadi muda huu sioni code wala msg kutoka kwa hawa watu, naomba msaada km kuna mtu aliwahi...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Hello, Nimeona baadhi ya wanaume wenzangu wana hii tabia inayohuzunisha, sijui ni sifa ya kuambiwa kuwa nae ana msichana mzuri, sijui ni lack of options, low self esteem, stupidity, kujiendekeza...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom