zeus47
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 233
- 310
Habari wakuu!
Hatimae nimeingia jijini kwa mara ya kwanza ile siku ya Jumamosi. Kwakweli Bongo ni kama Ulaya. Warembo wa kila aina aisee. Sasa katika harakati zangu za kuliona jiji vizuri nikaamua nisake usafiri nianze utalii wangu, hivyo nikavuta Bodaboda ya chap chap. Kituko ni pale nilipomwambia bodaboda anipeleke sehemu tulivu yenye watoto si kanipeleka kituo cha watoto yatima. Sasa sijui ni wapi nilipokosea wakuu. Ngoja niendelee kupambana na hali yangu. Nawasilisha.