Mke wangu mtarajiwa atapatikana humu MMU

Msondani

Member
Jun 4, 2016
29
16
Napenda ifahamike kwamba kwa uzi huu sitanii na wala sina nia ya kujifurahisha bali kueleza haja yangu kwa mwanamke wa maisha yangu ambaye naamini yupo humu.

Natambua kuna mwanamke ambaye naye kama ilivyo kwangu anahitaji mtu kwa ajili ya kujenga naye familia hivyo jukwaa hili lipo kama sehemu ya kukutana na si kwamba mitaani watu hawapo.

KUHUSU MIMI
Nina umri wa miaka 31, mkristo, nimeajiriwa. Mengine zaidi tutajulishana kupitia PM.

SIFA ZA MWANAMKE NIMTAKAYE
Umri: Miaka 26-30
Dini: Mkristo.
Aliye na ajira au asiye na ajira.
Awe anaishi kati ya mikoa ifuatayo:- Mwanza, Shinyanga, Geita au Tabora.

Naomba kuwasilisha.

NB: Wale wanaopenda kubeza nyuzi za aina hii naomba mpite kimya kimya.
Ahsante.
 
Eeeeheee Wa tanga fulsa imetupita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom