leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Nina muda unaokaribia miaka 20 katika ndoa lakini bado napata shida nikikumbuka kiapo hiki cha kuwa mwili mmoja kwamba hakitekelezeki, kiliishia na kinaendelea kuishia kwenye maneno.
Nimekuwa najaribu kukitekeleza hiki kiapo kwa vitendo kama familia lakini nimeshindwa. Ninachofahamu ukila kiapo hiki msingi wake mkubwa ni kushirikishana katika raha na shida, katika fedha na umasikini,katika miradi au lah kama baba na mama lakini jambo hili limekuwa gumu, sijui kwa waliotutangulia watatusaidia.