Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

Yellow bone

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
261
Likes
307
Points
80

Yellow bone

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
261 307 80
Inanibidi niseme nisiposema basi hawa mabinti watazidi kutamba na ku_spoil sifa za wanawake wengine wenye maadili na hekima njema.

Ni hawa mabinti wa Kilokole.
Utasikia naenda kwenye mkesha, naenda kwa mwakasego, naenda kwa gwaji naenda semina ya vijana, lakini sasa! Daaaaah!

Acha leo tuwachane live...

Ni nyie nyie...

1.Mnaoongoza kwenda makanisani na kwenye majukwaa ya semina za kikanisa wakati kwenye ndoa zenu hamjitolei sawasawa.

2.Mnaongoza kujipendekeza kwa kuheshimu wachungaji na wazee wakanisa wakati waume zenu hata tone la heshima hamna.

3.Mnaongoza kwa matendo mabaya kuliko hata wapagani wasiomjua Mungu, ni waongo, wanafiki, wasengenyaji, wasiosamehe, wenye chuki mioyoni mwenu.

4.
Mwisho ni kuwa ndo nyie nyie mnaongoza kwa kuvunja ndoa kila siku tena ndoa zenyewe ziligharamika kwa kila hali, daaaaah! Hivi hawa watu wana matatizo gani?

Ngoja nisimalizie...

Wadau malizieni...

 

Forum statistics

Threads 1,189,154
Members 450,530
Posts 27,627,208