Nimefall kwa bibie humu JF...

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,726
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja... nahofia endapo atakuja na Negative Response(mtizamo hasi)....

Go ahead but be sure of your feelings, usijutie badae!

kwani yupo free yaani hajaolewa?

kuwa makini maana humu kuna hata wanaume wanajifanya wanawake, na wanawake wanajifanya wanaume

humu watu wanakuwa katika fantasy world kuwa wasivyoweza kuwa maishani mwao

haya wee kazi kwao

im sure of this.. i really want to meet her.. hata ninywe nae soda.. nauhakika atanipa mawazo mazuri kimaisha..

kwani yupo free yaani hajaolewa?

kuwa makini maana humu kuna hata wanaume wanajifanya wanawake, na wanawake wanajifanya wanaume

humu watu wanakuwa katika fantasy world kuwa wasivyoweza kuwa maishani mwao

haya wee kazi kwao

haiwezekani.... she must be She.... na kama atakua mwanaume nitampongeza kwa "PRETENCE"

kwani yupo free yaani hajaolewa?

kuwa makini maana humu kuna hata wanaume wanajifanya wanawake, na wanawake wanajifanya wanaume

humu watu wanakuwa katika fantasy world kuwa wasivyoweza kuwa maishani mwao

haya wee kazi kwao

haiwezekani.... she must be She....  na kama atakua mwanaume nitampongeza kwa "PRETENCE"

Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja... nahofia endapo atakuja na Negative Response(mtizamo hasi)....

mhhh!!! Uwe makini unavyosema bibie! Hilo lenyewe id ya member humu ndani ambae anashikiliwa, kiufupi ni shemeji yako. So labda usiogope kumtaja ila usitumie hilo neno bibie koz napata presha.

Sasa unasubiri nini? We mchane live! Dondosha mistari hiyo......shauri yako we ngoja wenzako waje wakuwahi! Usiogope kukataliwa aisee, asipokuwa mpenzi wako anaweza akawa hata rafiki yako.

ushauri wangu,bora usimtaje humu,wewe m pm mmalizane wenyewe.ila usiwe tapeli tu.maana wapo humu.usije ukamtaja akawa na wake humu humu.you don't know[/QUOT

akinipa negative response.. I'll get hurt... natamani niongee nae ktk simu

Back
Top Bottom